Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

Ni vigezo gani vinavyotumika kutoa uraia wa Tanzania kando na kuunga mkono juhudi na ameomba epewe huo uraia au ameombwa na yule anayelengwa kusifiwa kwenye kitabu.

In my view, this is nonsense and I think it doesn't aim to benefit this country but the one who is the behind this bogus project.
 
Tatizo ndiyo hilo
 
Baada ya Huyu ni Obama
Yaani badala ya kuelemisha vijana watakaoendana na dunia ya leo
Bado tunaajiri wazee na fikra za ujima


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Fanya utafiti wako vizuri.
Tume ya kupambana na Ufisadi alikabidhiwa ya Kenya ikamshinda. Kwenye manguli ya ufisadi.
Sasa hapo Tanzania kwenu atafanya nini na ufisadi.

PLO anazunguka nchi nyingi sana Afrika, wote watampatia uraia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lomomba! lomomba! Hata akipewa ukuu wa majeshi, who cares?
Tetesi za kijinga kama mjinga aliyemleta lomomba na ujinga wake.
Chochote atakachopewa hakita add value kwenye maisha yetu.
 
Je PLO alifanikiwa vita vya ufisadi alipokuwa director of Kenya anti-corruption commission?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…