Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

U DC unamtosha
 
mtu mwenyewe anaitwa Lumumba sasa kuna tofauti gani na Lumumba yetu hii tuijuayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kesi adhimu ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais, aliongea kama hataongea tena maishani mwake. Alijipanga kisawasawa. Kiingereza fasaha. Presentation murua. Lafudhi yake utaipenda. Akatetea
rais Kenyatta. Maraga akamsikiliza kwa umakini wote. Jopo la utetezi likatupiwa maswali rahisi tu na majaji. Kwa mbwembwe zao wakatoa majibu magumu kwa maswali rahisi. Maraga akamkalisha propesa na wenzake waandike vizuri notes za kanuni na sheria za uchaguzi huru na wa haki. Maraga katengua matokeo!
 
I liked it very much!
I'll make sure our country is Magulified again for the next 5 years of his second and last tenure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…