Acha ukilaza wako,katumbuliwa huyo,ingekuwa anataka kupewa nafasi kubwa bado Rais angempa tu maana ana nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwaMheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Hayanaga akili hayo, mkulu hawezi kuyateua hayo!Piga zeze na filimbi,huwezi pata bila kuwa mpiga zumali maar ajabu wale walumumba siwaoni hapa mpaka kuna masanjenti Jwtz wamepata mapolisi wapelelezi wamepata mpaka kakijana ka kaja mwambi nako kamepata,sasa walumumba vipi,acheni kupiga zumali hapa mtandaoni polepole,anawadanganya hawezi kuwasaidia
At any rate hawezi kuacha U_ RC bila ya consultation na Baba yake! This is a well planed move! Lkn si anaweza kumteua kwa nafasi za ubunge wa Rais?Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Siwanajua jamaa atatumia ubabe wapite kama wa serikali za mtaaHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Kuna taarifa nyeti pia anachunguzwa na vyombo nyeti kwa matumizi mabaya ya ofisi
Sijui kama nyumbu watakuelewa,na hii ipo kwa Mnyeti,brigadia Maganga na Agrrey MwamriMheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Amini usiamini, kama huyo Magu hataendekea kuwa Rais, baada ya mwaka 2025, basi amamuandaa huyo Makonda, ili amrithishe hiyo nafasi!Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Mirembe panakuitaAcha ukilaza wako,katumbuliwa huyo,ingekuwa anataka kupewa nafasi kubwa bado Rais angempa tu maana ana nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa
Unamuamini Magu?Watu mbona mna haraka Sana? Subirini hotuba ya Kesho Dodoma, kila kitu kitajulikana.
RetiredAt any rate hawezi kuacha U_ RC bila ya consultation na Baba yake! This is a well planed move! Lkn si anaweza kumteua kwa nafasi za ubunge wa Rais?
Acha ukilaza wako,katumbuliwa huyo,ingekuwa anataka kupewa nafasi kubwa bado Rais angempa tu maana ana nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa
Nikubandikia video clip, InshaAllah itatokea hebu isikilize alafu tuambia katumbuliwa au hakutumbuliwa.Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Huhitaji kuwa mtabiri kujua hiliMheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.