Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Acha ukilaza wako,katumbuliwa huyo,ingekuwa anataka kupewa nafasi kubwa bado Rais angempa tu maana ana nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa
 
Piga zeze na filimbi,huwezi pata bila kuwa mpiga zumali maar ajabu wale walumumba siwaoni hapa mpaka kuna masanjenti Jwtz wamepata mapolisi wapelelezi wamepata mpaka kakijana ka kaja mwambi nako kamepata,sasa walumumba vipi,acheni kupiga zumali hapa mtandaoni polepole,anawadanganya hawezi kuwasaidia
Hayanaga akili hayo, mkulu hawezi kuyateua hayo!
 
Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
At any rate hawezi kuacha U_ RC bila ya consultation na Baba yake! This is a well planed move! Lkn si anaweza kumteua kwa nafasi za ubunge wa Rais?
 
Hajatumbuliwa huyo, na atapewa ubunge hata kwa lazima hao wananchi wa Kigamboni watake wasitake, huyo ni waziri ajaye wa serikali ya Magufuli, wametoka mbali wale.
 
Daudi Albert Bashite kipenzi cha baba,anafanya watoto wengine wajihisi kutengwa.
 
Watu mbona mna haraka Sana? Subirini hotuba ya Kesho Dodoma, kila kitu kitajulikana.
 
Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Sijui kama nyumbu watakuelewa,na hii ipo kwa Mnyeti,brigadia Maganga na Agrrey Mwamri
 
Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Amini usiamini, kama huyo Magu hataendekea kuwa Rais, baada ya mwaka 2025, basi amamuandaa huyo Makonda, ili amrithishe hiyo nafasi!
 
Ila kwa sasa si tena RC wa DSM. Sidhani kama mteule Kunembe aliyechukua nafasi yake atakuwa na "character" kama zake. Huyu aliwahi kuaminiwa na kuwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala ndani ya TRA kabla ya kupewa u RAS. Kwa hiyo CV yake haina shaka labda ajitoe ufahamu tu na kumtumikia kafiri kwa hasara yake yeye mwenyewe.
 
At any rate hawezi kuacha U_ RC bila ya consultation na Baba yake! This is a well planed move! Lkn si anaweza kumteua kwa nafasi za ubunge wa Rais?
Retired
Unachosema ni kweli kabisa

Anachotaka Magu, huyo Makonda "wake" apate ridhaa ya Jimbo mojawapo hapa nchini........

Ili awe "comfortable" kumteua katika nafasi yoyote ya juu
 
Makonda yupo kwenye gemu bado.Hapo ni sawa tu na kapanda daraja.Hajatumbuliwa!
Simple trick imechezwa hapa!
 
Aisee na mimi ngoja nikachukue form, tena kwa hasira naenda kuchukua form zote kuanzia form one hadi form six...!
 
Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Nikubandikia video clip, InshaAllah itatokea hebu isikilize alafu tuambia katumbuliwa au hakutumbuliwa.
 
Mheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.
Huhitaji kuwa mtabiri kujua hili
 
Back
Top Bottom