cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Acha ukilaza wako,katumbuliwa huyo,ingekuwa anataka kupewa nafasi kubwa bado Rais angempa tu maana ana nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwaMheshimiwa Makonda hajatumbuliwa, katumwa kugombea ubunge ili apewe nafasi mojawapo ya juu kwenye safu ya uongozi ujao.
Kama Magufuli atashinda na kuendelea kuwa Rais mtatia tick yakitimia haya.