Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Makonda yupo kwenye gemu bado.Hapo ni sawa tu na kapanda daraja.Hajatumbuliwa!
Simple trick imechezwa hapa!
Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......

Huenda akateuliwa PM ili ifikapo 2025 "amrithishe" huo uRais wake!
 
Hivi wanawake mbona wanateuliwa wachache sana haki sawa kwa wote ipo wapi au wamesahau sisi ndo wapiga kura na tupo wengi kuliko waume
 
Nchi hii inausafiri mpaka wa helicopter.
 
SSgt kawa DC hii magu nimemvulia kofia hata mm naweza kuwa dc
 
V tatu na kaua kamoja. Kama wewe umewahi kuishi kambini utanielewa tu.

Ni mtu mdogo sana labda kama alikuwa ni nyoka a.k.a snitch

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kuna masnich zaidi yake kikubwa zali limemuangukia tu.Rais anamfahamu kitambo unaweza kuta alisoma nae jamaa hakufanikiwa akaenda jeshini sasa amemkumbuka magu jamaa zake kwa kweli amejitahidi kuwakumbuka
 
Sio yeye, wametenguliwa wengi
 
magu akaze buti hapohapo...hizo nafasi wapate wengine sasa. Wenye uchu hata kwenye kura wasipitishwe na chama kuwania ili wajiajiri mitaani maana mitaji tayari wanayo, wawapishe wengine
 
Hatuwezi kuwa na wasukuma zaidi ya miaka 10.
Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......

Huenda akateuliwa PM ili ifikapo 2025 "amrithishe" huo uRais wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…