Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Makonda yupo kwenye gemu bado.Hapo ni sawa tu na kapanda daraja.Hajatumbuliwa!
Simple trick imechezwa hapa!
Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......

Huenda akateuliwa PM ili ifikapo 2025 "amrithishe" huo uRais wake!
 
Hivi wanawake mbona wanateuliwa wachache sana haki sawa kwa wote ipo wapi au wamesahau sisi ndo wapiga kura na tupo wengi kuliko waume
 
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.

Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Nchi hii inausafiri mpaka wa helicopter.
 
SSgt kawa DC hii magu nimemvulia kofia hata mm naweza kuwa dc
 
V tatu na kaua kamoja. Kama wewe umewahi kuishi kambini utanielewa tu.

Ni mtu mdogo sana labda kama alikuwa ni nyoka a.k.a snitch

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kuna masnich zaidi yake kikubwa zali limemuangukia tu.Rais anamfahamu kitambo unaweza kuta alisoma nae jamaa hakufanikiwa akaenda jeshini sasa amemkumbuka magu jamaa zake kwa kweli amejitahidi kuwakumbuka
 
Tangu USA wamwambie Makonda ana hatia ya kuwanyima watu haki ya kuishi basi ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwake hauna maana tena, maana ulikuwa kificho tu. Kazi yake ilishazimwa na Pompeii!

Ila nashangaa anataka kwenda Bungeni na alikuwa akiwasemea sana ovyo wabunge.
Sio yeye, wametenguliwa wengi
 
magu akaze buti hapohapo...hizo nafasi wapate wengine sasa. Wenye uchu hata kwenye kura wasipitishwe na chama kuwania ili wajiajiri mitaani maana mitaji tayari wanayo, wawapishe wengine
 
Back
Top Bottom