DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Bashite katumbuliwa , kwani mnakataa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......Makonda yupo kwenye gemu bado.Hapo ni sawa tu na kapanda daraja.Hajatumbuliwa!
Simple trick imechezwa hapa!
Nchi hii inausafiri mpaka wa helicopter.Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Zali tu limemuangukiaHuyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
View attachment 1507691
Hakuna cha kazi yeyote zali tu limemuanguakia na kikubwa zaidi Magufuli anamfahamu muda mrefu.Huwezi jua jeshini alikuwa na kazi gani.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Kuna masnich zaidi yake kikubwa zali limemuangukia tu.Rais anamfahamu kitambo unaweza kuta alisoma nae jamaa hakufanikiwa akaenda jeshini sasa amemkumbuka magu jamaa zake kwa kweli amejitahidi kuwakumbukaV tatu na kaua kamoja. Kama wewe umewahi kuishi kambini utanielewa tu.
Ni mtu mdogo sana labda kama alikuwa ni nyoka a.k.a snitch
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sio yeye, wametenguliwa wengiTangu USA wamwambie Makonda ana hatia ya kuwanyima watu haki ya kuishi basi ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwake hauna maana tena, maana ulikuwa kificho tu. Kazi yake ilishazimwa na Pompeii!
Ila nashangaa anataka kwenda Bungeni na alikuwa akiwasemea sana ovyo wabunge.
Wakikosa Ubunge je?HomeBoy, Ina maana hijui kinachoendelea? Hawa viongozi wote wanaokwenda Kiwania ubunge SIO KWAMBA wametumbuliwa, hapana. Wameomba ruhusa kwa Mh.Rais,na wameruhusiwa.
Ila sio makonda huyu anabebwa na MTU yuleeeeeeeeeUbunge utawaliza wengi baada ya Kura za Maoni
Hakuna msukuma atagombea ubunge akose jina lazima lipiteWakikosa Ubunge je?
Kuna wajinga hawataki kusoma nyakati wanagonga bia kwamba katumbuliwa pole kwaoMambo yanakwenda kasi Sana, bila shaka Makonda ndio Waziri wa Mambo ya Ndani ajaye.
Security of tenureHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Wana uhakika wa kupita bila kupingwa na TUME...NA WAKURUGENZI NA POLICCMHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......
Huenda akateuliwa PM ili ifikapo 2025 "amrithishe" huo uRais wake!
Siyo kweli, ilikuwa mbinu ya kuwabana baadhi,lakini wengine ni RUKSAKama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.
Hii kauli itaondoka na wengi.
Mambo ya ndani.Yaani huyo Makonda anaandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi......
Huenda akateuliwa PM ili ifikapo 2025 "amrithishe" huo uRais wake!