Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Kuna watu niliwaambia hii tumbua tumbua ipo kimkakati, kuanzia Mrisho, na nikasema RC wa Dar nae atatumbuliwa kama kutuzuga tu.

Kuelekea uchaguzi CCM inataka kujisafisha, inajitahidi kujitenga na wote walioonekana kuitia doa ili kupunguza maswali na kelele kwa wananchi, kwa sasa jibu litakua moja tu, hao mnaowasema, tumewatumbua.

Baada ya uchaguzi watakula nafasi zingine tena na kama kawaida yetu tutadahau na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Yaani
Mkuu wa mkoa DSM,
Karibu tawala DSM
Afisa elimu mkoa DSM
Msemaji wa RC DSM
Wote wameenda gombea ubunge; kweli mwanadamu hatosheki hata umpe Nini,(aliimba mzee makassy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…