Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
kumbe ubunge ni deal sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamanisha hata cha ubaya au?Nadhani hiyo ndiyo target yake kubwa.
Binafsi namtakia kila la kheri, kitachotokea chochote kitokee tu.
sijaona jina lako kwenye watiania kwenye chama chetu cha mabahari?.Ni kweli mkuu unajua wakati mwingine kiherehere sio kizuri unaweza jiabisha mwenyewe au kujivunjia heshma mbele ya jamii
Anajaribiwa sana mbona kule lindi moshi tuu ziara ikakatishwa[emoji2]
Mtu asiyejulikana uyo ana kofia mbili uyoHuyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
Nitakuja mkuu usihofu najiandaasijaona jina lako kwenye watiania kwenye chama chetu cha mabahari?.
Unamanisha hata cha ubaya au?
Ujue kuna helaHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Usijipe matumaini sana hapa katikati bado parefu kidogo huwezi jua afya ya uhai wa mtu.Makonda rais mtarajiwa awamu ya sita
Ahaa hapo sawaAkikosa, au akapata ni yote kheri kwangu.
Sioni kama ina make any difference.
Bora libashite limeondolewa. Lije kwenye siasa tupambane vizuriRais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
View attachment 1507627View attachment 1507630View attachment 1507631
Wana CCM kigamboni msituangushe Faustine Anatosha.Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
View attachment 1507627View attachment 1507630View attachment 1507631