Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Kuna watu niliwaambia hii tumbua tumbua ipo kimkakati, kuanzia Mrisho, na nikasema RC wa Dar nae atatumbuliwa kama kutuzuga tu.

Kuelekea uchaguzi CCM inataka kujisafisha, inajitahidi kujitenga na wote walioonekana kuitia doa ili kupunguza maswali na kelele kwa wananchi, kwa sasa jibu litakua moja tu, hao mnaowasema, tumewatumbua.

Baada ya uchaguzi watakula nafasi zingine tena na kama kawaida yetu tutadahau na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom