Kasunguranyama
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 499
- 368
Jimbo gani vile?Hajachukua fomu ya kugombea ubunge kwa kubahatisha chief, .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimbo gani vile?Hajachukua fomu ya kugombea ubunge kwa kubahatisha chief, .
Ngoja tuone home boySure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.
Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.
Polepole kasema kabisa anasikia mkuu wa mkoa anataka kugombea jimbo Kigamboni.
Akatoa salamu zimetoka kwa Magu (sijui hawawezi kupigiana simu au ndiyo show ya jamii tu?). Message ni kwamba, akigombea atakatwa.
Swali ni je, watamkata?
Huyo RAS aliyepandishwa kuwa RC alikuwa yes man wa Bashite.
Maana yake ni kwamba RC bado ni Bashite. So sad!
Huwezi jua labda Wana mahesabu yao wamepigaJina lake halirudi kwa tamaa yake. Jiwe amewaonya kiais cha kutosha.
Tunajua ni mazingaombwe tuOrder maalum toka kwa babaake, ata hiki unashindwa kugundua mzee
😂 😂 😂 😂 😂 😂Huyo RAS aliyepandishwa kuwa RC alikuwa yes man wa Bashite.
Maana yake ni kwamba RC bado ni Bashite. So sad!
Kuna kauli nyingine wanatoa "for public consumption only".Ngoja tuone home boy
Maana siasa+haina formula chochote kinaweza tokea
Ova
Sio tu kazi gani lkn pia kuna masajent wamepiga kitabu kikubwa kabisa sema tu walikosea timing za kupanda vyeo kwenda Ofisa.Huwezi jua jeshini alikuwa na kazi gani.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Uwaziri mkuu haiwezekani ila atakuwa either Waziri wa mambo ya ndani au Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa.Ohooo akishinda ubunge?
Uwaziri mkuu huu hapa.