Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Huu Ni moja ya mkakati wa kufuta upinzani Hawa waliteuluwa mda mrefu sna na wanaelewe kazi yao kipindi hiki cha injury time Ni lafu wameangizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.

Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.

Polepole kasema kabisa anasikia mkuu wa mkoa anataka kugombea jimbo Kigamboni.
Akatoa salamu zimetoka kwa Magu (sijui hawawezi kupigiana simu au ndiyo show ya jamii tu?). Message ni kwamba, akigombea atakatwa.

Swali ni je, watamkata?
Ngoja tuone home boy
Maana siasa+haina formula chochote kinaweza tokea

Ova
 
Constable wa jeshi LA polisi amekuwa katibu tawala hapa namkubali jpm safi sana
 
Kipimo cha uadilifu wa MTUMBUAJI ni pamoja na unusaji wa harufu ya UOZO wa DAB. Bila hivyo ni DOUBLE STANDARD practice!
 
Heko Magufuli kwa kuwateua Watumishi wa Umma wameteuliwa kidogo inaongeza morali ya Wafanyakazi wengine kuliko kuwateua Wanasiasa!
 
Sikumbuki ni lini Rais aliye madarakani ambaye baada ya kuvunjwa kwa mkutano wa bunge aliendelea kwa kasi ya roketi kutengua na kuteua kama huyu Mheshimiwa. Hii ni dalili ya jahazi kuzama, pia ni dalili za woga wa wazi na wala si kwa Tanzania Visiwani peke yake bali hiki ni kuashiria muhimu kwa huku Tanzania Bara.

Membe tafadhari litumie vyema jukwaa lako hapo kesho. Hata kama una nia ya kugombea kwa kesho geresha utamuunga mkono Tundu Lissu ili tupate kuiona patashika kwa upande wa Team - CCM.
 
Huwezi jua jeshini alikuwa na kazi gani.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Sio tu kazi gani lkn pia kuna masajent wamepiga kitabu kikubwa kabisa sema tu walikosea timing za kupanda vyeo kwenda Ofisa.
Niliwahi kuona mmoja ni Engineer mkubwa kabisa
 
Tupokee huu ujumbe kama ulivyoleta au tutafsiri kinyume (opposite) yake?.
 
Back
Top Bottom