Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Magufuli ni mwanaume saana.

Yaani Hadi East Africa yote wanatuogopa, hawamwelewi Magufuli yukoje.
 
Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.

Hii kauli itaondoka na wengi.
Na wote wa Design hiyo watakatwa na wachache watapata ubunge was kuteuliwa then Uwaziri.......Nawasikitikia akina Pangu pakavu.........
 
Sio tu kazi gani lkn pia kuna masajent wamepiga kitabu kikubwa kabisa sema tu walikosea timing za kupanda vyeo kwenda Ofisa.
Niliwahi kuona mmoja ni Engineer mkubwa kabisa
Hao unakuta kuna somo au kwenye kozi ya u afisa aliumia au kufeli hivyo ile nafasi ya kuwa ofisa ikashindikana.
Kuna jamaa( simtaji jina)yeye pale monduli (alikuwa kozi ya afisa ) ailivunjika mguu akarudishwa kikosini akapewa cheo cha mteule daraja pili(uraiani wanaita saa meja)
 
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Hoja yako nzuri sana.
Sema nahisi wenyewe walishapewa taarifa mapema kabla ya umma kujulishwa.
Watakuwa walisha anza safari kabla ya tangazo.
 
Nataka kufahamu uyo mkuu wa wilaya ya chunya kaenda wapi au ndo kaachishwa kazi maana sijamsikia kwenye kutia nia wala kuteuliwa kwingine.
 
Nataka kufahamu uyo mkuu wa wilaya ya chunya kaenda wapi au ndo kaachishwa kazi maana sijamsikia kwenye kutia nia wala kuteuliwa kwingine.
 
Back
Top Bottom