MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Kunenge huyu ambae alikuwa TRA.....? Ni MTU poa sana......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unakumbuka pole pole alisema nini juu makonda wewe?Siyo kweli, ilikuwa mbinu ya kuwabana baadhi,lakini wengine ni RUKSA
Jidanganye eti zali limemwangukia. Endelea kukariri.Hakuna cha kazi yeyote zali tu limemuanguakia na kikubwa zaidi Magufuli anamfahamu muda mrefu.
Hauna hojaIle ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Na wote wa Design hiyo watakatwa na wachache watapata ubunge was kuteuliwa then Uwaziri.......Nawasikitikia akina Pangu pakavu.........Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.
Hii kauli itaondoka na wengi.
Unpredictable Magufuli.Mara paap, jina linakatwa!
Hao unakuta kuna somo au kwenye kozi ya u afisa aliumia au kufeli hivyo ile nafasi ya kuwa ofisa ikashindikana.Sio tu kazi gani lkn pia kuna masajent wamepiga kitabu kikubwa kabisa sema tu walikosea timing za kupanda vyeo kwenda Ofisa.
Niliwahi kuona mmoja ni Engineer mkubwa kabisa
Rejea hotuba ya polepole alichozungumzaPoint ni kwamba, ameachia ukuu wa mkoa, hivyo atasaidiwa kupata ubunge.
Unpredictable Magufuli.
Viva Magufuli.
Kweli kabisaUsimwamini sana Jiwe, huwa anabadilika kama kinyonga.
Banana RepublicTuki sikia Bashite kawa waziri mkuu tusi shangae
Mara paap, jina linakatwa!
Hoja yako nzuri sana.Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Hata mimi nilikuwa najiuliza hiki kitu,hivi ubunge wa viti maalum hata wanaume pia hupewa?Lazima Makonda ashinde. Akishindwa atapewa ubunge wa viti maalum vya kuteuliwa.
DoohNikubandikia video clip, InshaAllah itatokea hebu isikilize alafu tuambia katumbuliwa au hakutumbuliwa.View attachment 1507807