Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Kwani unateseka mkuu?Hata akicheka mnaleta taarifa hapa?
Hii imewahi fanyika wapi? Na ikawa kama ulivyosemaRais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko.
P
Huyu mzee hajawahi kuumwa kivile toka awe rais,marais wagonjwa wako Nigeria kila siku wanafanya medical tourism UKtaarifa za kucheka mnaleta ila za kuumwa mnaficha
Rais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko.
P
ohh kumbe ni mgonjwa wa ndani.Huyu mzee hajawahi kuumwa kivile toka awe rais,marais wagonjwa wako Nigeria kila siku wanafanya medical tourism UK
Wewe unataka nani akutunzie familia yako? Acha kukwepa majukumu. Tafuta pesa.