Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

Haaa haaa kazi kweli kweli.! Mtukufu Rais dokta muweza wa yote na asishindwa kwa lolote. Anaeabudiwa na kusujudiwa MaCCM wote. Mwenyewe anawaita WAPUMBAVU wake. Nchi ya wajinga sana hii
 
Haaa haaa kazi kweli kweli.! Mtukufu Rais dokta muweza wa yote na asishindwa kwa lolote. Anaeabudiwa na kusujudiwa MaCCM wote. Mwenyewe anawaita WAPUMBAVU wake. Nchi ya wajinga sana hii
Sisi WANYONGE
 
Anafuata kauli ya zitto “kazi na bata”

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Rais Magufuli mpaka hapo ameunga mkono ile kauli "KAZI NA BATA". Dr Bashiru ajitafakari kwa kauli zake za kukemea hio kauli.
 
Awa mfano mwema kwa wananchi, wamuige na kutalii Afrika yetu hii.

Tanapa inabidi waweke gati/daraja za kuelea za maboya magumu (Floating Bouy Bridge) za kukanyaga hata kama maji ni kina kifupi haikupasa hapo Rais avue viatu na kukanyanga maji wakati wa kushuka na kupanda boti.

Mambo ya kukanyaga maji yamepita na wakati hizi boya sasa ndio zinatumika kama daraja na gati kwenye boti.
Awa mfano mwema kwa wananchi, wamuige na kutalii Afrika yetu hii.

Attachments

  • floating-marker-buoy-jetty-Marina-swimming-pools.jpg
    floating-marker-buoy-jetty-Marina-swimming-pools.jpg
    67 KB · Views: 3
Huko kuna lango la kuingia kuzimu, nasikia kuna binadamu na huwa wanafanya utarii huko kuzimuni na kukutana na mkuu wa kuzimu, uchaguzi una mambo mengi, lazima kafara zifuate, enzi za mkwere ilikuwa ni albino na maajari mengi majini na barabarani, sasa sijui wahanga watakuwa akina nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P mama Kabendera,

mwanao alijaribu kuonesha Dunia ya ndani yasiyojulikana akapewa mashtaka ya hila,dhulma na unyanyaso ya uhujumu uchumi na utakatishajo fedha!

Ukabaki na masononeko na ugonjwa bila fedha tiba!

Wengine wanafurahi!
Uuaji
Dhulma
Ufisadi
Ukanda
Udini
Manyanyaso
Kiburi..................
Mpiga polishi na Mchoma mshikaki akiwa anasaka tonge anakuwa na sura ya kiuungu lakini ndani ya moyo wake ni muuwaji mkubwa
 
Chukua fursa hio, omba tender ya ku supply, tuna mito na maziwa mengi na bahari pia..

Back
Top Bottom