Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Usirudie kusema ukweli apo nchini kwenuWasiishie kumuonesha vivutio tu, wampeleke sehemu zote wanapoulia wavuvi haramu make ushahidi upo wazi walinzi wa hifadhi ya rubondo na pori la burigi wamekuwa wakitesa na kuuwa watu kikatiri.
Kuna matukio mengi ya mauaji yamefanywa na hao walinzi.
Walimpiga risasi mvuvi haramu aliyekutwa akibanika samaki kisha wakamtupia juu ya wani na kumbanika pamoja na samaki.
Pia walimkamata mvuvi mwingine wakamtesa sana na kumhangika msalabani kisha wakammiminia risasi zisizo na idadi.
Wanaua hadi watoto wenye umri chini ya miaka 18 wanaoenda kuvua samaki wauze ili kujipatia mahitaji ya shule.
Serikali ya magufuli ina laana, damu za raia nyingi zinamwagika bila huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app