Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

Ninacho furahi ni kuwa kavaa nguo zilizotoka kwa mabeberu

Best comment kwenye mada hii.

Lakini, 'definition' ya "mabeberu" siku hizi haieleweki.

Kuna wakati hata wachina nao tunawabatiza jina la 'mabeberu'.

Hiyo ndio hali halisi tuliyonayo Tanzania siku hizi, hatuna 'taratibu' maalum au 'viwango' mahsusi kwa jambo lolote.

Taratibu na viwango vinabadilika mara kwa mara kila tunapojisikia wenyewe kuvibadili.
 
R.I.P mama Kabendera,

mwanao alijaribu kuonesha Dunia ya ndani yasiyojulikana akapewa mashtaka ya hila,dhulma na unyanyaso ya uhujumu uchumi na utakatishajo fedha!

Ukabaki na masononeko na ugonjwa bila fedha tiba!

Wengine wanafurahi!
Uuaji
Dhulma
Ufisadi
Ukanda
Udini
Manyanyaso
Kiburi..................

Kifo cha mama kabendera ni mapenzi ya mungu kama mungu asingependa basi asingekufa hadi kijana otoke jela, hivyo maumivu yako yanaweza kuwa chukizo kwa mungu kwa kwa kusingizia usichojua maana huwezi jua uwazayo mabaya kwa jpm kumbe ndo unajiongezea hatia kwa mungu maana ndo ajuaye matendo na ukweli kuhusu yeye.
 
Wasiishie kumuonesha vivutio tu, wampeleke sehemu zote wanapoulia wavuvi haramu make ushahidi upo wazi walinzi wa hifadhi ya rubondo na pori la burigi wamekuwa wakitesa na kuuwa watu kikatiri.

Kuna matukio mengi ya mauaji yamefanywa na hao walinzi.
Walimpiga risasi mvuvi haramu aliyekutwa akibanika samaki kisha wakamtupia juu ya wani na kumbanika pamoja na samaki.
Pia walimkamata mvuvi mwingine wakamtesa sana na kumhangika msalabani kisha wakammiminia risasi zisizo na idadi.
Wanaua hadi watoto wenye umri chini ya miaka 18 wanaoenda kuvua samaki wauze ili kujipatia mahitaji ya shule.

Serikali ya magufuli ina laana, damu za raia nyingi zinamwagika bila huruma.
Uuuwiiii tumbo limeniuma ghafla.... Mtu anabanikwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20191231-WA0016.jpg
✍
 
Back
Top Bottom