mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Rais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko.
P
Ndugu Mayalla,mbona wewe ni mtu mzima sana,njaa ndiyo inakutoa ufahamu?kwa lazima kila uzi uchangie?kwa hiyo miaka yote alikuwa hachekagi kwenye mkesha?hata ujipendekeze kiasi kani huwezi kupata uteuzi hata wa Afisa Tarafa,kwa bahati mbaya hujajigundua kuwa haupo kwenye mfumo wao.