KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Ninacho furahi ni kuwa kavaa nguo zilizotoka kwa mabeberu
Ninacho furahi ni kuwa kavaa nguo zilizotoka kwa mabeberu
Mkuu Comment GANI HiiNinacho furahi ni kuwa kavaa nguo zilizotoka kwa mabeberu
R.I.P mama Kabendera,
mwanao alijaribu kuonesha Dunia ya ndani yasiyojulikana akapewa mashtaka ya hila,dhulma na unyanyaso ya uhujumu uchumi na utakatishajo fedha!
Ukabaki na masononeko na ugonjwa bila fedha tiba!
Wengine wanafurahi!
Uuaji
Dhulma
Ufisadi
Ukanda
Udini
Manyanyaso
Kiburi..................
So what?Mijitu mingne bhana post gan hiiAngalia video hapa
is he sick?taarifa za kucheka mnaleta ila za kuumwa mnaficha
Mama Kabendera amefarikiAngalia video hapa
alwaysis he sick?
Kwani hawalipwi huko wanakosifiana hovyo????....Watafuta Viewers YouTube
Uuuwiiii tumbo limeniuma ghafla.... Mtu anabanikwa???Wasiishie kumuonesha vivutio tu, wampeleke sehemu zote wanapoulia wavuvi haramu make ushahidi upo wazi walinzi wa hifadhi ya rubondo na pori la burigi wamekuwa wakitesa na kuuwa watu kikatiri.
Kuna matukio mengi ya mauaji yamefanywa na hao walinzi.
Walimpiga risasi mvuvi haramu aliyekutwa akibanika samaki kisha wakamtupia juu ya wani na kumbanika pamoja na samaki.
Pia walimkamata mvuvi mwingine wakamtesa sana na kumhangika msalabani kisha wakammiminia risasi zisizo na idadi.
Wanaua hadi watoto wenye umri chini ya miaka 18 wanaoenda kuvua samaki wauze ili kujipatia mahitaji ya shule.
Serikali ya magufuli ina laana, damu za raia nyingi zinamwagika bila huruma.
Rais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko.
P
Mbona hajavaa boya la kujiokolea endapo ikitokea ajali huyu mzee wetu
imebidi nicheke dah hii ya leo kali