Rais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko.
P
amefurahi wala haina shida naye ana moyo kama wa kwangu nikifurahi nitacheka
I always speak my mind, na kutuhumiwa kwa tuhuma ambazo sio za kweli, hakunisumbui sana kivile kwasababu mimi ni muumini wa karma na nina amani moyoni mwangu.Ndiyo maana watu wanakutuhumu kumvhongea Kabendera. This is not supposed to be a statement from you!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye maisha magumu wana hasira sana
Ila km agufuri angeongeza muhura wakutawala watu hum jf wangekufa kwa presha! Mwambieni lema 2020 tumeingia na mzee wwtu mpendwa jpm alitabiri kuwa hatatoboa . Watu wanateseka hum jf wakimuona mzee baba mzima wa afya.Wewe unataka nani akutunzie familia yako? Acha kukwepa majukumu. Tafuta pesa.
Mbona taifa lina wajinga sana aisee so kama kacheka wewe unanufaika na nn then??Angalia video hapa
Huwezi kuwa na amani kwa lawama wanazokuangushia watu.Unadhani uko salama kwa ndugu zake? Wamesha ku earmark kama mbaya wao, aliyeleteleza kifo cha mama yao etc! Haya mambo si mazuri hata kidogo. Kuna retaliation huko mbele inakuja!I always speak my mind, na kutuhumiwa kwa tuhuma ambazo sio za kweli, hakunisumbui sana kivile kwasababu mimi ni muumini wa karma na nina amani moyoni mwangu.
P
Kwanza I don't believe this kama kuna kitu kama hicho, pili kama kuna ndugu yoyote ataamini huu upuuzi wa humu jf, for sure ndugu huyo atakuwa ni kichaa!.Huwezi kuwa na amani kwa lawama wanazokuangushia watu.Unadhani uko salama kwa ndugu zake? Wamesha ku earmark kama mbaya wao, aliyeleteleza kifo cha mama yao etc! Haya mambo si mazuri hata kidogo. Kuna retaliation huko mbele inakuja!
Siwezi kuzipuuza habari za JF. Mbona kuna habari tunazipata na zinakuwa za kweli? ILA NAKUBALIANA NAWEWE KUWA LAZIMA KUTAFUTA UKWELI WA HABARI ZA JF KABLA YA KUZIFANYIA KAZI. I can not ignore, but will work on it!Kwanza I don't believe this kama kuna kitu kama hicho, pili kama kuna ndugu yoyote ataamini huu upuuzi wa humu jf, for sure ndugu huyo atakuwa ni kichaa!.
P
Wakitushauri tuwe na demokrasia wanaitwa "mabeberu"Best comment kwenye mada hii.
Lakini, 'definition' ya "mabeberu" siku hizi haieleweki.
Kuna wakati hata wachina nao tunawabatiza jina la 'mabeberu'.
Hiyo ndio hali halisi tuliyonayo Tanzania siku hizi, hatuna 'taratibu' maalum au 'viwango' mahsusi kwa jambo lolote.
Taratibu na viwango vinabadilika mara kwa mara kila tunapojisikia wenyewe kuvibadili.
"Upuuzi wa JF"Kwanza I don't believe this kama kuna kitu kama hicho, pili kama kuna ndugu yoyote ataamini huu upuuzi wa humu jf, for sure ndugu huyo atakuwa ni kichaa!.
P
Wasiishie kumuonesha vivutio tu, wampeleke sehemu zote wanapoulia wavuvi haramu make ushahidi upo wazi walinzi wa hifadhi ya rubondo na pori la burigi wamekuwa wakitesa na kuuwa watu kikatiri.
Kuna matukio mengi ya mauaji yamefanywa na hao walinzi.
Walimpiga risasi mvuvi haramu aliyekutwa akibanika samaki kisha wakamtupia juu ya wani na kumbanika pamoja na samaki.
Pia walimkamata mvuvi mwingine wakamtesa sana na kumhangika msalabani kisha wakammiminia risasi zisizo na idadi.
Wanaua hadi watoto wenye umri chini ya miaka 18 wanaoenda kuvua samaki wauze ili kujipatia mahitaji ya shule.
Serikali ya magufuli ina laana, damu za raia nyingi zinamwagika bila huruma.
Sawa Pascal, je, akijampa vipi itakuwa ni habari mbaya kwa mwaka unaoanza au ule unaoisha!!? Nauliza hivi kwa sababu mtu anaweza akacheka hadi ushuzi ukamtoka, sasa kama ni 'big name,' kwa mujibu wa Pascal, ishara yake ni nini!!?Rais akicheka siku ya mkesha wa mwaka mpya ni dalili njema kwa mwaka ujao wa 2020, utakuwa ni mwaka wa vicheko, tena kwa msiojua mambo ya kihabari, big names makes news, hivyo inapofikia hatua hata rais akicheka tuu ni news tena yenye catch line " Rais Magufuli Acheka!, haya ni maendeleo makubwa kwa sekta yetu ya habari.
P
"Fyatueni tu watoto,nitawasomesha bure".Wewe unataka nani akutunzie familia yako? Acha kukwepa majukumu. Tafuta pesa.