Rais Magufuli afanya utalii kwenye kisiwa cha Rubondo

Usirudie kusema ukweli apo nchini kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bishweko kamwe hatutaacha kusema ukweli ingali damu ya watanzania wenzetu inamwagika, uhai wa watanzania wenzetu unasitishwa kikatiri huku familia zikiachwa na wajane!

Hatuwezi kunyamaza na kuacha kikundi cha watu wachache wakivunja katiba ya nchi.
Rais anavunja katiba aliyoapa kuilinda.
 
Kweli maana mama Kabendera alisema ata akifungwa Kabendera wapo wakumpa huduma zote alizokua akipata tangu zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye video inaonyesha Rais na watu wengine wakishuka kwa kuruka kutoka kwenye boti.

Tanapa inabidi waweke Floating Bouy Bridge maana kuna wazee,watoto au watu wenye ulemavu ambao watatembelea itawawia vigumu kushuka, kisha usumbufu wa kuvua na kuvaa tena viatu.

Pia kitendo cha kuisogeza boti mpaka hapo sehemu yenye sakafu au maji mafupi kwa boti ambayo imetengezwa kwa material ya fibre ni kuiharibu na kupunguza life span yake pia unatengeneza mwanya wa mkuku(mgongo wa boti) kuja kutoboka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…