Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Nimesoma nakuelewa ndio maana nimeuliza. Amesema balozi zingine zitabakia kama zilivyo 'swali langu hizi balozi zilizoachwa hazina mapungufu? Soma uelewe nini nauliza?
Kuna balozi kama UK yupo Dr.Migiro,Malaysia yupo Dr. Dau ni wapya hakukuwa na haja ya kuteua tena .
 
Kipaumbele chenu ni kujengewa makao makuu ya Bakwata Makonda tayari amewaombea ufadhili GSM, amekuja mfalme wa Morocco Rais amewaombea mjengewe msikiti mkubwa, sasa mwatakani tena nyinyi watu?

Hivi Sheikh Jongo kwenye bunge la katiba wakati analia kilio cha kinafiki hamkukumbuka kumueleza kwamba mlimpeleka bunge la katika kusimamia maslahi ya waislamu? Alitimiza wajibu wake?

Sasa tulieni umnyolewe huenda akili zitawarudia.
Wakurazimisha kuchinja hata msipotakiwa mbona mna lalamika sana,hata hivyo naona mmetulia sjui mnacheki upepo ninyi ni hatari sana
 
Recho mashishanga nae chali!!
Sasa Recho hata kama ni mwenzetu utampa nafasi gani wakati hata mtihani tu wa QT aliferi?

Serikali hii ya ngosha kama elimu yako ni ya hapa na pale sahau kabisa kuhusu uteuzi na ile mivyeti ya kununuwa ndio hivyo tena imeshabuma.
 
Udini Udiniiii Udiniii

Teuzi za John Poor Manager ni za upendeleo wa udiniii...lakin potelea mbali maana acha jahazi lizame na watu wake
 
Kama kuna mwislam anaunga mkono,ajitafakar upya juu ya dini yake
2020 sio mbali waislam tutakachomfanyia huyu baba nae hatosahau
Bakwata haina kinyongo chochote na serikali hii na inashukuru kwa kujengewa makao makuu.

Kwao teuzi za waislamu hazijawahi kuwasaidia kitu zaidi ya familia za wateuliwa, kwanza uzoefu unaonesha kadiri mwislamu anapopata maisha mazuri ndio anazidi kukaa mbali na uislamu hachangii ujenzi wa msikiti wala madrasa na kuswali ndio kabisa hataki kusikia yeye na familia yake

Ukitaka kuamini leo jumapili tembelea makanisani uone vibopa wa kikafir walivyojaa makanisani na magari yalivyojaa kanisani mwisho sikiza sadaka iliyopatikana leo tu.

Ukifanya research hii huku ukiwa na mawazo huru kuanzia leo utaacha rasmi kuwaza kwamba makafir na watu wa dini ya haki wako sawa na utaacha kuwalinganisha.

Ndio maana Bakwata kwa kulijuwa hili huwa wanaridhika tu pale wanapopata kitu cha manufaa kwao na si waislamu, waislamu hawana manufaa kwa dini yao zaidi ya ulalamishi tu, haya sasa msikiti tu wKuswali wenyewe wanataka msaada.

Ni tofauti na makafir, hata vile vikanisa vya mfukoni wanajenga wenyewe makanisa yao.
 
Udini Udiniiii Udiniii

Teuzi za John Poor Manager ni za upendeleo wa udiniii...lakin potelea mbali maana acha jahazi lizame na watu wake

Dua la kuku halimpati Mwewe.Kama ulishindwa kuzuia Gesi utayaweza haya?Watu wanachaguliwa wakachape kazi sio kupendezesha wapiga kelele.
 
Udini Udiniiii Udiniii

Teuzi za John Poor Manager ni za upendeleo wa udiniii...lakin potelea mbali maana acha jahazi lizame na watu wake
Waislamu wengi wanaojitambuwa watoto wao wanawapeleka kwenye seminary za Wakristo

Kuna Wakristo wananyimwa nafasi kujiunga na Mariana Bagamoyo lakini wanapewa nafasi waislamu wenye uwezo wa kiakili kuwazidi wale wakristo, hili jambo kwenu ni ndoto kuwa na upendo wa aina hii, bado kauli mbiu yenu ileile ndugu katika imaani.

Siku mkiukataa ujinga huu ndio mtakuwa mmejikombowa kifikra.
 
Bakwata haina kinyongo chochote na serikali hii na inashukuru kwa kujengewa makao makuu.

Kwao teuzi za waislamu hazijawahi kuwasaidia kitu zaidi ya familia za wateuliwa, kwanza uzoefu unaonesha kadiri mwislamu anapopata maisha mazuri ndio anazidi kukaa mbali na uislamu hachangii ujenzi wa msikiti wala madrasa na kuswali ndio kabisa hataki kusikia yeye na familia yake

Ukitaka kuamini leo jumapili tembelea makanisani uone vibopa wa kikafir walivyojaa makanisani na magari yalivyojaa kanisani mwisho sikiza sadaka iliyopatikana leo tu.

Ukifanya research hii huku ukiwa na mawazo huru kuanzia leo utaacha rasmi kuwaza kwamba makafir na watu wa dini ya haki wako sawa na utaacha kuwalinganisha.

Ndio maana Bakwata kwa kulijuwa hili huwa wanaridhika tu pale wanapopata kitu cha manufaa kwao na si waislamu, waislamu hawana manufaa kwa dini yao zaidi ya ulalamishi tu, haya sasa msikiti tu wKuswali wenyewe wanataka msaada.

Ni tofauti na makafir, hata vile vikanisa vya mfukoni wanajenga wenyewe makanisa yao.
Ni muhim kuanza kujenga fikra kila mtu sehem yake alipo
Hatuwez kukaa kimya,sasa imekua too much
Matola anza sasa, najua unajitambua, ukibadir mitizamo ya waislam 10 wakajielewa utakua umefanya jambo kubwa sana
 
Back
Top Bottom