MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Mkuu nina division point 15,,O level na division 3,point 14 advance (PCB),, na nilisoma Ualimu level ya dip,,,,maisha tu na na Exposure Mkuu,,,Ila ki ukweli WALIMU WENGI NI VILAZA 100%,,Hasa Hawa wa shule za msingi ,,hawawezi kabisa kujisimamia hata katika Jambo linalohusu haki zao!.…Kuna mwalimu aliyepata division two form four? Ni wakuhesabu wengi division four uongo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu sasa najua kwa nini nchi hii haipigi hatua. Inaongozwa na walimu wa msingi na sekondari. Inaongozwa na watu ambao hata kombi za kidato cha nne hazikukubali. Wengine walikwenda half-combi. Watu wenye akili zao kwa nini wanaogopa siasa?
Unajuaje,huyu ni kichaa,punguani,tahira na juha,na mwingine ni mzima?.Ukiweza kutambua hayo, pia unaweza kutambua aliye timamu na asiye timamu,na ukishindwa tambua wewe pia siyo timamu.Unajuaje za huyu haziko timamu na za mwingine haziko timamu?
Hata division one wapo wengi tu.Kuna mwalimu aliyepata division two form four? Ni wakuhesabu wengi division four uongo?
Labda kwa mazingira ya zamani sijui, Lakini kuanzia utawala wa magu watu wanaenda na one zao o level na advance kikubwa kinachowapeleka huku sio perfomance bali ni pesa ya kuaccomodate kusoma program nyingine hakuna thats why huwezi kuta mtoto wa tajir hata akipata four kwenda kusomea education
Unajua aina ya walimu lakini unakumbuka UPE kilichofuatiaMkuu hao hao tumepita mikononi mwao, pamoja na phd yangu bado namkumbuka mwalimu wangu wa darasa la pili tena kijijini, na shati langu limechafuka kwenye tumbo kwa kula maembe..
PumbavuMkuu Kwani ni fani ngapi watu wamesoma na hawana ajira,watu wa sheria,community deve'nt, international rela.nk ije kuwa hao walimu,?
Mkuu Serikali imesema hakuna nafasi za ualimu kwa walimu kwa sasa ,je unawataka iwaajiri wapi ikiwa hakuna nafasi?
Tuache lawama ambazo haziwezi kubadili ukweli wa mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Achq ubishi kuna upungufu mkubwa wa walimu sema mmegeuka wanasiasa kila MTU anasifia ili ateuliwe ....ukweli hata ww unaufaham sema mnajitoa ufahamuMkuu chukua hao wanafunzi,ambapo ikama inasema kuwa kila mwalimu ahudumie watoto 45 , kwa idadi hiyo ya watoto 250 ukigawanya kwa walimu 6 unakuta kila mwalimu anapaswa kuhudumia watoto 41 ,kwa ikama inavyotaka utagundua kuwa walimu katika shule hiyo wamezidi na wanapaswa kupungua ili ikama ya idadi ya watoto 45 izingatiwe.
Kwa huo mfano ulioutoa ngoja na Mimi nikupe wa kwangu,hapa ninapofundisha Mimi shule yangu ina watoto 320 na idadi ya walimu 24, ikiangalia ikama na idadi ya vipindi unakuta kila mwalimu anahudumia watoto 13, na kwa mwalimu mwenyewe vipindi vingi kwa shule hii ni vipindi 12 ,wakati ikama inataka kila mwalimu awe na vipindi 24 kwa wiki,huoni hapa kuwa kuna ziada ya walimu zaidi ya 5-9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuondoa vyeti feki ,wafanyakazi hewa na kupunguza allowances na kutoongeza mishahara lakini Gharama za Kulipa mshahara zimeongezeka enzi za JK ilikuwa mshahara bil 500 ila kwa Hapa kazi ni 600B.“Mukumbuke ndugu zangu katika wafanyakazi wote ambao tunawalipa mishahara kila mwezi ambayo ni karibu bilioni 600, nusu ambayo ni zaidi ya bilioni 300 inaenda kwa walimu.”
Vipi Jana Dua zako zilifika kwa Mungu!Uko sahihi kabisa. Hii nchi ina baadhi ya Watanzania wajinga sana. Hata umchukie Magufuli kiasi gani, mwisho wa siku yeye ndiye Rais wa Tanzania! Kumchukia hakuwezi kuleta tija yoyote ile kwenye maisha yetu ya kawaida ya kila siku, zaidi tu ya kuongeza msongo wa mawazo.
Wafanyakazi tunataka unafuu wa maisha. Huo ndiyo ukweli. Leo hii wasipomualika Magufuli ili atie neno, ni nani mwenye hiyo nguvu ya kuboresha stahiki za Wafanyakazi kama siyo Rais?
Mimi kama Mfanyakazi wa Nchi hii, naunga mkono hao CWT kumualika Rais! Nina imani walau mwaka huu atatekeleza baadhi ya ahadi zake. Simuungi mkono kwenye baadhi ya uonevu anaowafanyia Wafanyakazi! Lakini hakuna namna, maisha lazima yaendelee.
Vipi Jana Dua zako zilifika kwa Mungu!
Hapa ndio mwisho wa uelewa wako mkuu? Kwamba mtu akitoa hoja usiyokugusa unamtukana? Pole sanaPumbavu