Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Kuna mwalimu aliyepata division two form four? Ni wakuhesabu wengi division four uongo?
Mkuu nina division point 15,,O level na division 3,point 14 advance (PCB),, na nilisoma Ualimu level ya dip,,,,maisha tu na na Exposure Mkuu,,,Ila ki ukweli WALIMU WENGI NI VILAZA 100%,,Hasa Hawa wa shule za msingi ,,hawawezi kabisa kujisimamia hata katika Jambo linalohusu haki zao!.…
 
QUOTE="bulicheka 4, post: 35605371, member: 588134"]
Kuna mwalimu aliyepata division two form four? Ni wakuhesabu wengi division four uongo?
[/QUOTE]
Mkuu kama umefanikiwa kusoma unachokipenda shukuru lakini watanzania asilimia kubwa wanasoma vitu wasivyopenda kwa sababu nyingi na hiyo ya perfomance ni minor sana, Niliwahi kuangalia post za udsm mwaka 2016 nilichoka mtu PCM amepata 4 na kachaguliwa education
 
Halafu sasa najua kwa nini nchi hii haipigi hatua. Inaongozwa na walimu wa msingi na sekondari. Inaongozwa na watu ambao hata kombi za kidato cha nne hazikukubali. Wengine walikwenda half-combi. Watu wenye akili zao kwa nini wanaogopa siasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
HAO WANAOWAFUNDISHIENI WATOTO ZENU NI MALAIKA AU WALIMU.
TUWAACHE WALIMU WAFANYE MAMBO YAO
 
Unajuaje za huyu haziko timamu na za mwingine haziko timamu?
Unajuaje,huyu ni kichaa,punguani,tahira na juha,na mwingine ni mzima?.Ukiweza kutambua hayo, pia unaweza kutambua aliye timamu na asiye timamu,na ukishindwa tambua wewe pia siyo timamu.
 
Hao waliotambulishwa kwenye hafla hiyo ya leo wote ni wa zamani. Enzi hizo waliokwenda huko walikuwa ambao walishindwa kwenda A-level. Combi zilishindwa kukubali. Na wengine hawakuweza kwenda form 1. Walikwenda vyuo vya ualimu moja kwa moja toka shule ya msingi.
Labda kwa mazingira ya zamani sijui, Lakini kuanzia utawala wa magu watu wanaenda na one zao o level na advance kikubwa kinachowapeleka huku sio perfomance bali ni pesa ya kuaccomodate kusoma program nyingine hakuna thats why huwezi kuta mtoto wa tajir hata akipata four kwenda kusomea education
 
Mkuu hao hao tumepita mikononi mwao, pamoja na phd yangu bado namkumbuka mwalimu wangu wa darasa la pili tena kijijini, na shati langu limechafuka kwenye tumbo kwa kula maembe..
Unajua aina ya walimu lakini unakumbuka UPE kilichofuatia
 
Mkuu Kwani ni fani ngapi watu wamesoma na hawana ajira,watu wa sheria,community deve'nt, international rela.nk ije kuwa hao walimu,?

Mkuu Serikali imesema hakuna nafasi za ualimu kwa walimu kwa sasa ,je unawataka iwaajiri wapi ikiwa hakuna nafasi?

Tuache lawama ambazo haziwezi kubadili ukweli wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu
 
Mkuu chukua hao wanafunzi,ambapo ikama inasema kuwa kila mwalimu ahudumie watoto 45 , kwa idadi hiyo ya watoto 250 ukigawanya kwa walimu 6 unakuta kila mwalimu anapaswa kuhudumia watoto 41 ,kwa ikama inavyotaka utagundua kuwa walimu katika shule hiyo wamezidi na wanapaswa kupungua ili ikama ya idadi ya watoto 45 izingatiwe.


Kwa huo mfano ulioutoa ngoja na Mimi nikupe wa kwangu,hapa ninapofundisha Mimi shule yangu ina watoto 320 na idadi ya walimu 24, ikiangalia ikama na idadi ya vipindi unakuta kila mwalimu anahudumia watoto 13, na kwa mwalimu mwenyewe vipindi vingi kwa shule hii ni vipindi 12 ,wakati ikama inataka kila mwalimu awe na vipindi 24 kwa wiki,huoni hapa kuwa kuna ziada ya walimu zaidi ya 5-9?


Sent using Jamii Forums mobile app
Achq ubishi kuna upungufu mkubwa wa walimu sema mmegeuka wanasiasa kila MTU anasifia ili ateuliwe ....ukweli hata ww unaufaham sema mnajitoa ufahamu
 
“Mukumbuke ndugu zangu katika wafanyakazi wote ambao tunawalipa mishahara kila mwezi ambayo ni karibu bilioni 600, nusu ambayo ni zaidi ya bilioni 300 inaenda kwa walimu.”
Pamoja na kuondoa vyeti feki ,wafanyakazi hewa na kupunguza allowances na kutoongeza mishahara lakini Gharama za Kulipa mshahara zimeongezeka enzi za JK ilikuwa mshahara bil 500 ila kwa Hapa kazi ni 600B.
 
Uko sahihi kabisa. Hii nchi ina baadhi ya Watanzania wajinga sana. Hata umchukie Magufuli kiasi gani, mwisho wa siku yeye ndiye Rais wa Tanzania! Kumchukia hakuwezi kuleta tija yoyote ile kwenye maisha yetu ya kawaida ya kila siku, zaidi tu ya kuongeza msongo wa mawazo.

Wafanyakazi tunataka unafuu wa maisha. Huo ndiyo ukweli. Leo hii wasipomualika Magufuli ili atie neno, ni nani mwenye hiyo nguvu ya kuboresha stahiki za Wafanyakazi kama siyo Rais?

Mimi kama Mfanyakazi wa Nchi hii, naunga mkono hao CWT kumualika Rais! Nina imani walau mwaka huu atatekeleza baadhi ya ahadi zake. Simuungi mkono kwenye baadhi ya uonevu anaowafanyia Wafanyakazi! Lakini hakuna namna, maisha lazima yaendelee.
Vipi Jana Dua zako zilifika kwa Mungu!
 
Vipi Jana Dua zako zilifika kwa Mungu!

Walau kutakua na upandaji wa madaraja. Inshallah mambo yakienda vizuri, na mimi nitakua ni mmoja kati ya hao wapandaji kwa mara ya 3! Ingawa ni ukweli ulio wazi, utaratibu umevurugwa kwa makusudi kabisa tangu mwaka 2016.
 
Hiki cwt hakijielewi, asili ya trade unions ni kutetea na kupigania maslahi binafsi ya waalimu kama vile ongezeko la mishahara, madaraja, maji, umeme, makazi na kadhalika.

Sasa Serikali inajimwambafai kwa kutekeleza majukumu yake ya lazima kama kujenga miundo ya madarasa, fedha za kujikimu wanafunzi etc inahusiana vipi na maslahi binafsi ya mtumishi.

Hivi vyama vinaendeshwa kwa michango binafsi ya watumishi ili kutetea na kupigania maslahi bora lakini vyama hivi vimekuwa sehemu ya Serikali sio sahihi.

Bado kuna changamoto kubwa kwenye vyama.
 
Back
Top Bottom