Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
CCM hii njia mnayotumia inabidi kuipromote Chadema japo kwa maumivu ila mnawarahisishia safari huko mbeleni.
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
Kwani Tanzania kuna curfew mpaka uhakika Mbowe anataka wapi saa saba usiku?
 
Kuwajengea wananchi flyover bila amani hakuna maana
 
Magufuli ndio Rais wa kwanza kwa uoga tangu dunia iumbwe , anamuogopa Mbowe kuliko maelezo
 
Hivi kwa mfano ikibainika ni wao wenyewe ndio wanaotengeneza matukio ama kwa kujua au kutokujua mtaiambia nini Dunia.?

Binafsi bado najiuliza saa 6-7 usiku (how/where/?)
Je alivamiwa njiani,nyumbani kwake au hao wavamizi alitoka nao alikokuwa au kuna connections za wavamizi alikokuwa na wale wale wa njiani/nyumbani kwake?

Ushauri: Viongozi wa kisiasa wamebeba maono na marajio ya watu wengi,hivyo jukumu la kuwalinda na wao kujilinda halina mjadala.
Wajibu huu si wa Serikali pekee,has a ukizingatia kuwa ratiba/mizunguko ya Viongizi wa siasa hasa wa upinzani hairatibiwi na serikali.
Kwa kuanzia vyama vya siasa viwe vinaomba ulinzi wa viongozi wao hasa nyakati za usiku kama kuna dharula au ratiba zao kuonesha ama watafika sehemuau watatoka mahala fulani usiku.
 


Hiyo lugha waliotumi hao maharamia waliomshambulia Mbowe ni danganya toto tu, wamesema vile ili kuwapoteza malengo waliokuwa wanasikia. Tukio hili ninaweza sema linamuhusisha Lissu kwa kulipiza kisasi, Chadema wanauana wenyewe kwa wenyewe kutokana na uchu wa madaraka. Lissu kalipiza kisasi kwa Mbowe.
 

Hao Wananchi unaowasemea, ni wale waliozurumiwa korosho zao kusini??
 
Watanzania siyo mazezeta Kama unavyodhani.
 
Hivi hua mnatambua vzr lakini nchi isiyo na amani?au mmelewa hii amani iliyopo na sasa mnataka kuishi kwa kukimbia,nchi isiyo na amani utapata hata muda wa kuandika hapa?utapuliza hata pafyumu kwa kwapa zako?utakula utakacho kwa muda upendao?kuna siku MUNGU atawajaribu ili kuwafundisha amani ni nini
Kuwajengea wananchi flyover bila amani hakuna maana
 
 
Nani anaejua kwamba ni serikali inahusika ?Mbowe amekua mpinzani zaidi ya miaka kumi na 5 iweje leo ? Mbowe ana maadui wengi mana hata na yeye sio msafi ... nani anaejua?
 
Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania
Sasa kama unataka kutuaminisha kuwa hizo ni njama zinazofanywa na wanaChadema wenyewe ni kwanini hawakamatwi wahalifu hao na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria??

Unajuwa kuwa wajibu namba moja wa Jeshi letu la Polisi ni kulinda usalama wa raia na Mali zao??

Kwa hiyo unachotaka kutuambia ni kuwa kama Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wahalifu hao ambao unadai ni wanaChadema, ni kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa kazi, kwa hiyo IGP Sirro anapaswa kufukuzwa kazi
 
Uzuri Wananchi hata waishio vijijini, wanajua nani anayefanya haya matukio ya kigaidi.
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Ndugu acha kufikiria kama Maiti
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Ku.*má ya má. Mayako.
 
Mkuu unapoongeza Maneno,pls bold/tofautisha mtu mwingine anaweza kudhani Maneno uliyoongeza ni yangu.
Ni vizuri,lakini usinilishe Maneno ambayo sikuyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…