Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
 
Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania
Mkuu mie naomba kujua yafuatayo? 1. Wanachadema pia ni watanzania? 2. Je siku hizi ni ruksa wanafamilia kushambuliana wao kwa wao kwa mpanga na bunduki ndani ya nchi hii?
 
Lakini jamani tunamuamini alieleta uzi? Isije ikawa ni mambo yakutupa taharuki mbona hata picha hajaweka humu?
 
Mkuu naomba kujua,wanachadema pia ni watanzania?
 
Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania
Sasa unataka lawama ziende kwa nani? hivi anayehakikisha usalama wa wana familia ni nani? dada wa kazi, Mama ama Baba wa mji? sasa kama likitokea tatizo wanafamilia wamuulie nani? dada wa kazi siyo!!
 
Hata jambazi akikuvamia anatengeneza scenario kwamba katumwa na fulani kumbe hakuna ukweli wowote, kwa hiyo so ajabu wadhalimu hao kumshambulia Mbowe na kusema aache kumtukana Rais ili kujiwekea cover kwamba ni maagizo. Kimsingi tangu nimjue Mbowe hajawahi kumtukana Rais sasa iweje waseme maneno hayo?
 
Baba yenu mbona anatembea usiku kutoka ferry Hadi kisarawe Kwa jokate Ila Kwa wewe mtoto wa kike kutembea usiku ni ngumu kwasabb ya kulinda heshima ya ndoa
 
Yaani mshambuliane wenyewe alafu lawama kwa serikali?
Na huyo bodyguard wake kazi take huwa in nini?
Sasa hivi Mbowe na chadema yake na Lisu wake wana nguvu gani kisiasa hadi mshambuliwe?
Wakati mwingine mnacheza mission ya kitoto
 
Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na ugomvi na watu wengine nje ya hii sphere hadi kila unapovamiwa, kupigwa au kufanyiwa fujo ionekane ni serikali ndo wahusika?
 
Mzee hili swala limewaponyoka wote, Chadema na Serikali pia. Kiongozi KUB hawezi kuwa na ulinzi ambao uko tight kama wa Rais, inabidi awe huru kidogo, bado hatujafikia katika hatua ya kumweka kwenye ulinzi wa aina hiyo. Kwa hiyo hatuhitaji kumkosoa kwa lolote kuhusiana na movement zake. Mimi naomba tu tuviache vyombo vya dola vilishugulikie hili swala halafu baadaye vituletee mrejesho, naomba sana!
 
Nyie chadema kama mmekosa kabisa sera za kampeni mwaka huu bora mkae kimya asee kuliko kuleta janja janja inamaana hata kama mtu kafumaniwa kapigwa basi ni watu wasiojulikana mnajishusha na mnaboa kwakweli
Ungekuwa hujaolewa leo ningelipa mahari nikuzalishe watoto kama 12
 
Tazama hili NUNGAYEMBE
 
 
Yaani mshambuliane wenyewe alafu lawama kwa serikali?
Na huyo bodyguard wake kazi take huwa in nini?
Sasa hivi Mbowe na chadema yake na Lisu wake wana nguvu gani kisiasa hadi mshambuliwe?
Wakati mwingine mnacheza mission ya kitoto
Ubongo wako wewe ni kamasi tupu!
Haingii akilini CHADEMA wapange,waratibu na wajishambulie wenyewe kiasi cha kuuana sijui kwa faida ya Nani hasa! Ok,acha tukubaliane na upumbavu wako kuwa Lissu alishambuliwa na Mbowe, unaweza kujibu maswali yafuatayo:
  1. Kwanini Serikali haijamkamata Mbowe na kumfunga kwa Ushahidi usiotiliwa Shaka?
  2. Nani aling'oa zile CCTV Camera eneo alilopigiwa Lissu risasi?
  3. CHADEMA iliomba Scotland Yard Police ya UK waje wafanye Uchunguzi Serikali ilikataa Kwanini?
  4. Rais Magufuli siku 1 kabla ya Lissu hajashambuliwa litoa tamko kama maelekezo au alimaanisha nini?
You can fool some people for sometime, but you can't fool all people all the time
 

Kwanza lazima tujue, alikua na gari la serikari au gari binafsi?
Kama alikuwa na gari la serikari lazima anatakiwa kuwa na dereva wake hivyo dereva anatakiwa kuhakikisha bosi wake kaingia ndani ndo asepe.
Kwa hiyo tunataka majibu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…