Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Baba yenu mbona anatembea usiku kutoka ferry Hadi kisarawe Kwa jokate Ila Kwa wewe mtoto wa kike kutembea usiku ni ngumu kwasabb ya kulinda heshima ya ndoa

Lazima awe na ulinzi bila hivyo haendi .
Pia wewe ni mke mwenza ambae unaona wivu juu ya joketi?
 
Wanaotakiwa kueleza ni dereva na walinzi wa mbowe
 
Hizo in ngonjera tu za MFA maji
Mwambie Lisu arudi na dereva wake, ndiyo siku hiyo mtaijua rangi halisi ya maji
 
Nashangaa kuona watu baki ghafla wamegeuka James Hardley Chase na wengine ati ni James Bond 007.
 
Kule twitter kuna video zinasambaa vijana wa CCM wakiwa kwenye mikutano yao wakiomba ridhaa kwa viongozi wao wawavunje miguu na kuwapiga wapinzani wanadai wapinzani wanadekezwa kwenye nchi hii.
 
I tuvumiloane tu kosa tulilifanya pale kuambiwa mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia mtu huyo kuna siku atataka kukuchukulia shat umpe suruali yako
Kama hilo lingetumika kwenye siasa mpaka leo tungekuwa tuko chini ya utawala wa wakoloni.
Kwenye siasa mtu akikupiga shavu la kulia wewe unamkung'uta ngumi ya mdomo unamtoa meno yote ya sebuleni, hapo ndipo heshima itakuwepo.
Vinginevyo kuna siku atakuambia uvue boxer yako halafu.....!!!!!
 
Nasubiri pande ile ya Twita tutasoma mengi hivi punde
Kuna mtu ameanza kuonyesha hofu
Tuwe wavumilivu karibu KUNAKUCHA KUNAPAMBAZUKA
 
Kiongozi wa UVCCM Taifa H.James anasema tunawalea sana wapinzani, wapita njiani ,wanakwenda mahotelini na kupita mitaani huku vijana wa ccm wakiwa wanawaangalia tu.
Mwenyekiti UVCCM Kata ya Nsila anawataarifu polisi waache kuingilia pale vijana wa UVCCM wanapokua wanawapiga wapinzani... anaomba atacMwenyekiti Taifa ajue kua UVCCM watawaburuza na kuwavunja miguu.
RC Gambo wa Arusha anasimama hadharani nakusema vijana wa UVCCM tufanye fujo kwenye ofisi za CHADEMA maana mbunge sio wetu CCM.
Mbunge na Kada Bulembo anasimama Bungeni kabisa na kuagiza vijana kufanya mikakati ya kumuua Zitto.
Hizi zote ni jinai kabisa....sijui wametengeneza hao Upinzani au sio?
 
 
Trump akisema waafrika hawana akili huwa wanauana wao kwa wao wkigombea madaraka
 
Mimi simwamini jiwe hata kidogo, hao wengi labda wewe na familia yako [emoji809] I your fellow matanga
 
Huhitaji phd ya korosho kumjua mastermind wa haya matukio ya ajabu ajabu
 
Sio siri mimi nitakuwa wa kwanza kusherekea kwa kununua kreti nzima ya kibanda
 
Mimi simwamini jiwe hata kidogo, hao wengi labda wewe na familia yako [emoji809] I your fellow matanga
Huwezi lazimisha hisia zako mbovu ziwe za wote,never!.. na ninyi ni kati ya watu wa aina tatu hapa nchini. vyeti feki,wanasiasa wenye ulafi na Ikulu kwa sababu ya matumbo yenu au mliotumbuliwa kwa sababu ya kuwaibia wananchi,sasa mna hasira na huyo Rais utadhani mliambiwa mnayo yafanya ni sahihi,mlizoea na kudhani maisha ndiyo hayo hayo miaka yote..ngoja mkome
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Hata kichaa hawezi kujikatakata mapanga kwa kutafuta huruma. Labda wewe mwenyewe. Kwa hilo uko sahihi.
 
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…