Bado anateua kama kawaida bado anatoa Amri wapinzani wakamatwe viwanja vya Ndege mipakani wabambikiwe kesi, hata mawaziri bado wapo kazini kinyume na katiba ya Tanzania inavyosema kuwa mda huu wizara zinakuwa chini ya makatibu wakuu.Ghosryder,
Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi.
Sera kuu ya CCM ya sasa ni kuwabambikia kesi wapinzaniSawa ,lakini baadae sana...huwenda tusiwepo wa kizazi hiki,kwa Tanzania nayoijua mimi.kwasasa hapana ni kuburuzwa tu kwa kwenda mbele.
Rais wako mtarajiwa!Hata
sisi pia tunataka huyo..... nani sijui aishi.
Acha porojo wewe, hujui lolote hapa.Sasa Kama wamfaham shetani kwa Nini ubishane na mtu alijaa roho mtakatifu Kama Mimi ,kaa na shetani na mbaya zaidi hajawai shida,na ukiendelea nitakupa mfano mzuri ambao hutousahau kwamba mungu ni zahidi ya shetani hivyo ishia hapo
Kwa hiyo wanafikri kusimama kwa Rais wetu mpendwa kutapunguza kura za kipenzi chao?Magufuli aliposimama kusalimia watu wote wakatoka kwa Lissu wakahamia kwa Magufuli ndiyo maana Chadema wanalialia.
Nashindwa nikujibu Nini Sasa nasema ulaniwe na shetani wako ,kuanzia ukoo wako ,ukanyagapo ,na imekuaAcha porojo wewe, hujui lolote hapa.
Hata shetani anaweka watawala madarakani, nadhani hujui hilo ndio maana unaropoka tu.
Umelaaniwa wewe na uzao wako, kwa maana imeandikwa Zaburi 109:18 👇Nashindwa nikujibu Nini Sasa nasema ulaniwe na shetani wako ,kuanzia ukoo wako ,ukanyagapo ,na imekua
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Lissu ndo hovyo kabisa, Kama anashaurika kashaurika na Nani na ushauri gani kaukubali?Magufuli hashauriki, ngoja aendelee kulitafuta analolitafuta
Hujafikiri kwa kina ....Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Unajidhalilisha kiongozi... yaani wewe athari unayoiona ni kukosa watu pekee..!?Kwani Lisu amekosa watu huko Kazuramimba?
Hata wewe unajidhalilisha, hujioni au?Unajidhalilisha kiongozi... yaani wewe athari unakna ni kukosa watu pekee..!?
Nafikir wewe usiyejua inch inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria.
Ni ndoto mnazoota mkiwa mpo macho.Rais wako mtarajiwa!
Msi-complicate mambo. Ni train mbili zinapishana relini kila mmoja ikielekea upande wakeWakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Ni ndoto mnazoota mkiwa mpo macho.
Hebu tuwekee hapa ushahidi wa hayo matusi.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Udasa hii ya kina Kitila Mkumbo na Dr Bashiru na Profesa Kabudi?UDASA wanaweza kutoa ufafanuzi mzuri