Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Ghosryder,

Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi.
Bado anateua kama kawaida bado anatoa Amri wapinzani wakamatwe viwanja vya Ndege mipakani wabambikiwe kesi, hata mawaziri bado wapo kazini kinyume na katiba ya Tanzania inavyosema kuwa mda huu wizara zinakuwa chini ya makatibu wakuu.
 
Polepole na wenzake hawana sera za kumshauri mtukufu mwenyekiti wa CCM zaidi ya kumshauri abuni mbinu za kuwabambikia kesi kuwakomoa kuwahujumu kuwadhoofisha chadema na upinzani kwa ujumla
 
Sawa ,lakini baadae sana...huwenda tusiwepo wa kizazi hiki,kwa Tanzania nayoijua mimi.kwasasa hapana ni kuburuzwa tu kwa kwenda mbele.
Sera kuu ya CCM ya sasa ni kuwabambikia kesi wapinzani
 
Sasa Kama wamfaham shetani kwa Nini ubishane na mtu alijaa roho mtakatifu Kama Mimi ,kaa na shetani na mbaya zaidi hajawai shida,na ukiendelea nitakupa mfano mzuri ambao hutousahau kwamba mungu ni zahidi ya shetani hivyo ishia hapo
Acha porojo wewe, hujui lolote hapa.
Hata shetani anaweka watawala madarakani, nadhani hujui hilo ndio maana unaropoka tu.
 
Magufuli aliposimama kusalimia watu wote wakatoka kwa Lissu wakahamia kwa Magufuli ndiyo maana Chadema wanalialia.
Kwa hiyo wanafikri kusimama kwa Rais wetu mpendwa kutapunguza kura za kipenzi chao?
 
Acha porojo wewe, hujui lolote hapa.
Hata shetani anaweka watawala madarakani, nadhani hujui hilo ndio maana unaropoka tu.
Nashindwa nikujibu Nini Sasa nasema ulaniwe na shetani wako ,kuanzia ukoo wako ,ukanyagapo ,na imekua
 
Nashindwa nikujibu Nini Sasa nasema ulaniwe na shetani wako ,kuanzia ukoo wako ,ukanyagapo ,na imekua
Umelaaniwa wewe na uzao wako, kwa maana imeandikwa Zaburi 109:18 👇

Unajivika laana kana kwamba ni vazi lako. Ikakwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwako.

Uwe makini unapotaka kuandika hujui wengine ni kina nani hapa, piga magoti uombe radhi kabla jua kupunga, vinginevyo sihusiki.
 
Watanzania wengi tatizo ni elimu.. na uvivu wa kusoma vitu..

Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
 
Hujafikiri kwa kina ....
1. Nini maana na sababu ya kuwa na ratiba..!?
2. Madhara ya kugonganisha mikutano umeyawaza kwa kina..!?
3. Athari za kiusalama kwa rais umeziwaza..!?
4. Nia hasa ilikuwa nini..!?
 
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Msi-complicate mambo. Ni train mbili zinapishana relini kila mmoja ikielekea upande wake
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hebu tuwekee hapa ushahidi wa hayo matusi.
 
Back
Top Bottom