Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
mkuu edit hapo kwenye "mungu" isomeke "Mungu"
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Wapumbavu kama wewe mliojazana nchi hii ndio mmesababisha ccm itusomeshe namba kwa miongo sita!
 
Kwan nani kakataa maisha kuendelea??, huna hoja wewe mshenzitype
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
 
Mungu huwa anayo makusudi yake. Naziona dalili za CCM kushindwa urais. Hata kama haikushindwa, imewapa wapinzani uhalali wa kulalamikia ushindi wao kwa huu ukiukwaji mkubwa wa taratibu na rushwa.
Watanzania huwa hawapendi jitu onezi lisilofuata taratibu. Nachokiona wanalivizia kwenye sanduku la kura waliadhibu. CCM wenyewe wanaona kuanza upya ni bora kuliko kuendelea na jitu hili
 
Sio kukikwamisha, nyie marofa na uncle wenu mlituaminisha kuwa by 2020 chadema ingekuwa imekufa sasa muweweseko huu watoka wapi?? Washenzi tu
Kati ya mambo ambayo yamekikwamisha Chadema ni pamoja na kuwa na propaganda mfu kama hizi. Chama chetu kina watu wahuni wanachokichafua. Wewe unao uthibitisho wa hii habari ya kipuuzi?
 
Ningekuwa lissu hiyo ningeigeuza fursa. Ningesubiri magu aondoke then waliokuwa wanamsikiliza magu wanakuja kwangu kupata faraja baada ya kufokewa na magu.
 
Sio kukikwamisha, nyie marofa na uncle wenu mlituaminisha kuwa by 2020 chadema ingekuwa imekufa sasa muweweseko huu watoka wapi?? Washenzi tu
Mimi binafsi naona Chama changu kimekufa,huku chini wagombea wa madiwani na ubunge njaa tupu.
 
Mkuu utakuwa hutaki kazi otherwise umtangaze mwingne kuwa yeye ndo mshindi ila vingnevyo siku anaapishwa na wewe unabeba vilago
 
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Mkuu hapa ndipo nilipoanza kuuchukia utawala huu. Serious kabisa walitaka kumuua binadamu mwenzao kwa sababu tu anawakosoa. Huu ni unyama...

Nikimuona Lissu anavyotembea kwa kuchechemea napata hasira sana. Yani wasitegemee kura yangu kuanzia kwa mwenyekiti wa kitongoji mpaka Rais
 
Kwahiyo imekuwaje, Wananchi kwa Kazuramba wamechagua kwenda kumuona nani? Lissu au Magufuli.
Si nyie ndio mliokuwa mnaomba wagongane, wamekutana halafu mnalia lia tena!
 
Kwa nyomi hiyo ya Magufuli hana ratiba harafu kapita tu, basi Lisu kapata jibu sahihi.
 
Hizi ni fikra potofu tu. Nikukumbushe JPM bado ni Rais wa TZ. Hivyo anaweza kusimama popote kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua kama ambavyo huwa anafanya. JPM 2020.
 
Hivi kwa sasa Rais anaweza kumbadilisha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mkurugenzi wake?
 
Fact kabisa mkuu lkn Kuna watu wanashadadia as if hawajui chochote kabsa yaani watu Wana unyama hauna mfano halaf wanajifanya Ety wachamungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…