Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali Mungu akatuleta wote dunian?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali Mungu akatuleta wote dunian?
Magufuli aliposimama kusalimia watu wote wakatoka kwa Lissu wakahamia kwa Magufuli ndiyo maana Chadema wanalialia.Kwani Lisu amekosa watu huko Kazuramimba?
mkuu edit hapo kwenye "mungu" isomeke "Mungu"Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Nakuona unatapatapa kama mke aliyepewa talaka kwa umalaya wakeKwanini wewe ni kimada wa yuda iskariote lisu au
Wapumbavu kama wewe mliojazana nchi hii ndio mmesababisha ccm itusomeshe namba kwa miongo sita!Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Mungu huwa anayo makusudi yake. Naziona dalili za CCM kushindwa urais. Hata kama haikushindwa, imewapa wapinzani uhalali wa kulalamikia ushindi wao kwa huu ukiukwaji mkubwa wa taratibu na rushwa.Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Kati ya mambo ambayo yamekikwamisha Chadema ni pamoja na kuwa na propaganda mfu kama hizi. Chama chetu kina watu wahuni wanachokichafua. Wewe unao uthibitisho wa hii habari ya kipuuzi?
Mimi binafsi naona Chama changu kimekufa,huku chini wagombea wa madiwani na ubunge njaa tupu.Sio kukikwamisha, nyie marofa na uncle wenu mlituaminisha kuwa by 2020 chadema ingekuwa imekufa sasa muweweseko huu watoka wapi?? Washenzi tu
Mkuu utakuwa hutaki kazi otherwise umtangaze mwingne kuwa yeye ndo mshindi ila vingnevyo siku anaapishwa na wewe unabeba vilagoGhosryder,
Mkuu acha matusi ,taratibu lazima zifuatwe hasa kipindi hiki Cha kampeni, Kama nikuongea na wananchi Kama rais Basi itakua busara kwenda sehem husika bahaada ya wagombea wenzake kupita ,tume ipo kwa mjibu wa katiba ambayo rais pia anatakiwa kuifuata , kipindi hiki hakuna mgombea yuko juu ya tume, hivi mfano mpaka mda huu tume ikiamua kumpiga stop jpm kuendelea na kampeni mtaifanya Nini, endelea kujidanganya , I wish ningekua mwenyekiti wa tume,napiga mtu pini alafu tuone
Mkuu hapa ndipo nilipoanza kuuchukia utawala huu. Serious kabisa walitaka kumuua binadamu mwenzao kwa sababu tu anawakosoa. Huu ni unyama...Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Kwa navyompenda Magu nikikutana nae kwa msafara nasimamisha popote ili niongee naeAlikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea.
Hizi ni fikra potofu tu. Nikukumbushe JPM bado ni Rais wa TZ. Hivyo anaweza kusimama popote kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua kama ambavyo huwa anafanya. JPM 2020.Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Fact kabisa mkuu lkn Kuna watu wanashadadia as if hawajui chochote kabsa yaani watu Wana unyama hauna mfano halaf wanajifanya Ety wachamunguMkuu hapa ndipo nilipoanza kuuchukia utawala huu. Serious kabisa walitaka kumuua binadamu mwenzao kwa sababu tu anawakosoa. Huu ni unyama...
Nikimuona Lissu anavyotembea kwa kuchechemea napata hasira sana. Yani wasitegemee kura yangu kuanzia kwa mwenyekiti wa kitongoji mpaka Rais
Lissu hawezi kukosa watuKwani Lisu amekosa watu huko Kazuramimba?