Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na baada ya kupigwa hizo risasi Nyalandu akajitoa kumsaidia kutafuta matibabu wakaazimia kumfukuza chamani huu si ushetani kabisa.Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Tulikosea sana ila wanaopiga deals za kutesa wapinzani wanafrahi kweli hawajui kuwa hatuishi milele sifa ya mtu kufaInawezekana sana kwa wiki mbili sasa Magufuli amekuwa akihubiri ubaguzi kwenye mikutano yake huko mkoani Mara, Mwanza, kagera, Geita na Kigoma.
Hivi umeelewa hata kilichoandikwa hapo juu kweli?Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hiyo simu unayotumia si alitengeneza babu yako na neno nigger ni la kikwenuBado unajivunia hii elimu iliyoletwa kwenye majahazi isiyoweza kukupa ufahamu hata wa kuchonga meza!! unadhani wazungu kukuletea elimu ile wanakujali saana, nigger!!
Atalipwa sawa sawa na matendo yakeUzuri wa maisha ya binadamu ni kwamba kila kitu kina mwisho, so ukifanya ubaya ukaina ni wema mbele ya jamii, kuna ujira wake pia kwa baadaye.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, huna uweze wa kufikiri nje ya hayo uliofundishwaHiyo simu unayotumia si alitengeneza babu yako na neno nigger ni la kikwenu
Na walio hakiki mitaala ya kufundishia itumike ni CHADEMA na serikali yake.
Ni Jambo la kukemea na kulaani kwa nguvu zote mkuu, na kiukweli ili kuondoa makandokando, Jambo hili ni vyema likachunguzwaNi hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Kuikataa katiba ya chenge lilikuwa kosa kubwa sana,kulirekebisha itapita miaka 100.Nyie si mliikataa katiba mpya bungeni eti kisa haina serikali 3!! au mmesahau, tulieni sasa Rais anatekeleza majukumu yake
Swali gumu na la akili kubwa. safiNi hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Kama Magufuli ataingia tena madarakani nchi hii itakuwa kwenye wakati mgumu haijawahi kutokea.Tulikosea sana ila wanaopiga deals za kutesa wapinzani wanafrahi kweli hawajui kuwa hatuishi milele sifa ya mtu kufa
kama kawaida kulia liaWakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?