Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi..
Nyie si mliikataa katiba mpya bungeni eti kisa haina serikali 3!! au mmesahau, tulieni sasa Rais anatekeleza majukumu yake
 
We bwege kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna chizi mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake!!! Hell no!! lazima maisha yaendelee
Katika uchaguzi huu kuna kanuni zilizokubaliwa na vyama vyote. Msimamizi wake ni Tume ya uchaguzi. Moja ya Kanuni hizi ni ile inayomkataza kutoa ahadi yoyote ya kutoa msaada wa kimaendeleo, ajira, fedha n.k. katika kipindi hiki. Amevunja kanuni na angeadhibiwa ila bahati yake tume ni yake, kaiteua yeye na inamsikiliza yeye.
 
Ghosryder,

Mkuu acha matusi ,taratibu lazima zifuatwe hasa kipindi hiki Cha kampeni, Kama nikuongea na wananchi Kama rais Basi itakua busara kwenda sehem husika bahaada ya wagombea wenzake kupita ,tume ipo kwa mjibu wa katiba ambayo rais pia anatakiwa kuifuata , kipindi hiki hakuna mgombea yuko juu ya tume, hivi mfano mpaka mda huu tume ikiamua kumpiga stop jpm kuendelea na kampeni mtaifanya Nini, endelea kujidanganya , I wish ningekua mwenyekiti wa tume,napiga mtu pini alafu tuone
 
Uhuru na haki na moja ya jukumu kubwa nanalopaswa kuhakikisha ni kulinda haki za msingi za kikatiba
soma vizuri katiba sasa halafu urudi humu utuambie madaraka ya Rais yanakoma kwa vigezo gani??
 
Kama watu walikua kwa lissu, Magufuli alisimama kumsalimia nani? Chadema uongo wenu utawaumuza sana kwenye kisanduku cha kupigia kura.
 
Ndio raha ya kuwa mgombea lakini hapohapo rais wa nchi ,ameonyesha bado ana mamlaka hata kama kwa sasa ni kipindi cha mpito kikatiba( kipindi cha uchaguzi)
Sasa basi anaweza kuwaagiza hata wenye mamlaka ya uchaguzi (tume), vyovyote anavyotaka yeye.
Tunaongea kila siku kwamba huu uchaguzi ni kukamilisha tu ratiba ili kuondoa lawama, Rais ataendelea kuwa Magufuli. Hapo tayari ubabe na dharau vimeshatumika.mjiandaae kisaikolojia tu na matokeo.
Hata Firauni alikuwa na ubabe na dharau lakini siku ilipowadia wana wa Israel waliondoka utumwani Misri.
 
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Watu wanauwana ili watutawale
 
Hata Firauni alikuwa na ubabe na dharau lakini siku ilipowadia wana wa Israel waliondoka utumwani Misri.
Sawa ,lakini baadae sana...huwenda tusiwepo wa kizazi hiki,kwa Tanzania nayoijua mimi.kwasasa hapana ni kuburuzwa tu kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom