Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Akili zenu mbaya kabisa !!
 
Duh! Kama matusi yenyewe ndio haya, basi nimehishiwa hoja nanyoosha mikono, maana hakuna hata moja hapo ninalo weza kulijadili kama tusi.
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kwani nani hajui kwamba katiba bado inamtambua Magufuli kama raisi wa nchi? Na nani anyetaka maisha yasiendelee? Hoja hapa ni kwamba tupo kwenye kipindi cha kampeni, kuna utaratibu ambao lazima uheshimiwe na wagombea wote akiwemo huyo rais.
Na hayo mnayoita matusi ya Lisu ni ngonjera ambazo mnatakiwa mbadilishe sasa, zinachosha na kukera. Jibuni hoja zake kama mnaweza siyo kusema ni matusi. Lissu ni nani nchi hii atukane tu anavyotaka halafu serikali imwangalie tu!!!!
Kama.alikosoa tu akamiminiwa risasi za kutosha itakuwa kutukana?
 
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
 
Chuma kimepita tu kusalimia ila cheki hilo nyomiπŸ˜€πŸ˜€. Lisu unapoteza muda, raia wameshaamua. Magufuli 5 tena
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kaenda kwenye ziara ya kiserikali au kampeni. Kama ulikuwepo jana na juzi Kigoma unaweza kuelewa shughuli ya kiserikali na kampeni. Ya Juzi ilikuwa kampeni na ya jana ikawa shughuli ya kiserikali. mafisiem mtachanganyikiwa sana mwaka huu na bado
 
Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
Hivi magufuli hua anatoa mshahara wake kujenga barabara?
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
We jamaaaa hua naheshimu sana mawazo yako ila leo nimekuona pimbi kweli 😑😑😑 afu hapo umetumia mda wako kufikili dah!! kazi ipo.
 
Jiwe amekata pumzi, na NEC hawawezi kumuuliza chochote, kisha wanaCCM wanakuambia hiyo ni tume huru.
Hapo ndio kakata pumzi? Kichwa cha habari usingeandika cha kulia lia hivo ungekuja kibabe sana Lisu amfunika magufuli kazura mimba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚ sa unalia nn
 
Magu sasa ni mfamaji
 
Mkikutana barabarani mnasalimiana kama hivi tuu. Kwani kuna shida??
Your browser is not able to display this video.

Au kuna mtu anaumia hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niileta uzi hapa jana nikiuliza ni kawa nini Magufuli amechagua Kigoma kama sehemu ya kumchokonoa Lissu?

Jana niliona Lissu amechelewa sana katika mkutano wake wa mwisho, nikajiuliza je alizuiwa njiani kama watumiaji wengine wa barabara kwa kisingizio cha shughuli ya kiserikali?

Kwanini amechagua Kigoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…