Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuongopa,mwogope Mungu ndugu yangu,mimi sina chama lkn napenda sana haki maana naamini kuwa mbele ya Mungu binadamu wote ni sawa.Alikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea.
Screenshot hii comment itunze, 29/10 ntaikumbushia. Tafadhari kuwa jasiri kujibu maswali yatakayo ambatana na hii kituRaia gani wameamua??? Jidanganyeni tu
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020Hapo ndio kakata pumzi? Kichwa cha habari usingeandika cha kulia lia hivo ungekuja kibabe sana Lisu amfunika magufuli kazura mimba [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] sa unalia nn
Ustaarabu hufuatwa na mtu aliyeenda jandoKama watu walikua kwa lissu, Magufuli alisimama kumsalimia nani? Chadema uongo wenu utawaumuza sana kwenye kisanduku cha kupigia kura.
Alibaki Kigoma kama Rais, hukuona kilichotokea jana.Huyo siyo size yenu.huyo ndiyo namba moja wa nchi.Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Ni jambo jema.
Angepita bila kusalimia mngesema kamuogopa Tundu Lisu!
Ustaarabu hufuatwa na mtu aliyeenda jando
Screenshot hii comment itunze, 29/10 ntaikumbushia. Tafadhari kuwa jasiri kujibu maswali yatakayo ambatana na hii kitu
Bob Marley hakuwahi kuwa fala kama wewe. Unampenda dikteta?
We muache, tarehe 28 Oct tuna jambo letu.Huyu jamaa anatafuta uchokozi lakini safari hii hatuna mda nae yeye aendelee tu kufanya utoto
Ratiba ya NEC inasemaje? Lissu angeenda jimbo alipo JPM tume ingekaa kimya?Sasa kama Lisu alikuwa na watu hapo kwenye hilo eneo kuna shida gani na yeye Magu kuwahutubia wafuasi wake?
😂😂 Alitafute lipi Sasa, Yani kisa Lissu anamkutano wake, Rais apite road akutane na watu asihutubie😳? Kama hao watu wangekuwa na mpango na Lissu,Basi wangekuwa kwenye mkutano wake na sio barabarani anakopita Mh.Rais.Magufuli hashauriki, ngoja aendelee kulitafuta analolitafuta
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.[emoji23][emoji23] Alitafute lipi Sasa, Yani kisa Lissu anamkutano wake, Rais apite road akutane na watu asihutubie[emoji15]? Kama hao watu wangekuwa na mpango na Lissu,Basi wangekuwa kwenye mkutano wake na sio barabarani anakopita Mh.Rais.
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246