Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Magu ni mutu ya fucho fucho sana sichui kama ni mtansania halisi
 
Hapo ndio kakata pumzi? Kichwa cha habari usingeandika cha kulia lia hivo ungekuja kibabe sana Lisu amfunika magufuli kazura mimba [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] sa unalia nn
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
 
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Alibaki Kigoma kama Rais, hukuona kilichotokea jana.Huyo siyo size yenu.huyo ndiyo namba moja wa nchi.
 
Screenshot hii comment itunze, 29/10 ntaikumbushia. Tafadhari kuwa jasiri kujibu maswali yatakayo ambatana na hii kitu
BC31BD1D-13BA-4F13-B0B9-4481284F5E55.jpeg
 
Magufuli hashauriki, ngoja aendelee kulitafuta analolitafuta
😂😂 Alitafute lipi Sasa, Yani kisa Lissu anamkutano wake, Rais apite road akutane na watu asihutubie😳? Kama hao watu wangekuwa na mpango na Lissu,Basi wangekuwa kwenye mkutano wake na sio barabarani anakopita Mh.Rais.
 
[emoji23][emoji23] Alitafute lipi Sasa, Yani kisa Lissu anamkutano wake, Rais apite road akutane na watu asihutubie[emoji15]? Kama hao watu wangekuwa na mpango na Lissu,Basi wangekuwa kwenye mkutano wake na sio barabarani anakopita Mh.Rais.
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.

Tusijekulalamika akichukuwa Urais 2020-2025.

*Ukimpigia Kura mpinzani utalipa kodi kama kawaida lakini usitengeme huduma za Serikali*

28/10/2020 Kazi kwetu!
 
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246

Magufuli hapaswi kuwa Rais. Ana Uwezo mdogo sana kufikiri. Kwake kila kitu ni ubabe kutumia dola. Huyu ni dikteta. Period.
 
Back
Top Bottom