comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Aiseee!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu mbaya kabisa !!Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Duh! Kama matusi yenyewe ndio haya, basi nimehishiwa hoja nanyoosha mikono, maana hakuna hata moja hapo ninalo weza kulijadili kama tusi.Matusi makubwa ni haya
1.Jeipiemu kujenga uwanja Chatu.
2.Ongezeko la makato ya Bodi ya Mikopo
3.Lissu akatukana tena kuwa hakuna nyongeza ya mishahara
4.Hakuishia hapo akatukana tena kuhusu serikali kuzuia fao la kujitoa.
5.Huyu mwanamatusi lissu anazidi kutukana kuhusu ukosefu wa ajira
6.Matusi yaliendelea mpka kufikia hatua ya kuhoji faida na hesabu za ndege
KWA MATUSI HAYO HAPO JUU,NASHAURI LISSU ASHITAKIWE KWA WANANCHI NA MUNGU TUONE KAMA ATAPEWA PEPO AU LAH
Kwani nani hajui kwamba katiba bado inamtambua Magufuli kama raisi wa nchi? Na nani anyetaka maisha yasiendelee? Hoja hapa ni kwamba tupo kwenye kipindi cha kampeni, kuna utaratibu ambao lazima uheshimiwe na wagombea wote akiwemo huyo rais.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.Kwani nani hajui kwamba katiba bado inamtambua Magufuli kama raisi wa nchi? Na nani anyetaka maisha yasiendelee? Hoja hapa ni kwamba tupo kwenye kipindi cha kampeni, kuna utaratibu ambao lazima uheshimiwe na wagombea wote akiwemo huyo rais.
Na hayo mnayoita matusi ya Lisu ni ngonjera ambazo mnatakiwa mbadilishe sasa, zinachosha na kukera. Jibuni hoja zake kama mnaweza siyo kusema ni matusi. Lissu ni nani nchi hii atukane tu anavyotaka halafu serikali imwangalie tu!!!!
Kama.alikosoa tu akamiminiwa risasi za kutosha itakuwa kutukana?
Kaenda kwenye ziara ya kiserikali au kampeni. Kama ulikuwepo jana na juzi Kigoma unaweza kuelewa shughuli ya kiserikali na kampeni. Ya Juzi ilikuwa kampeni na ya jana ikawa shughuli ya kiserikali. mafisiem mtachanganyikiwa sana mwaka huu na badoKumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Unamdharau , wewe umefanya nini Tz hiiKwenye siasa hakuna kisichowezekana. Tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo. Kizazi kingine kisiasa. Sio hawa kina tundu lissu.
Unashabikia upumbavuuu!Ni jambo jema.
Angepita bila kusalimia mngesema kamuogopa Tundu Lisu!
Raia gani wameamua??? Jidanganyeni tuChuma kimepita tu kusalimia ila cheki hilo nyomi😀😀. Lisu unapoteza muda, raia wameshaamua. Magufuli 5 tena
Hivi magufuli hua anatoa mshahara wake kujenga barabara?Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
We jamaaaa hua naheshimu sana mawazo yako ila leo nimekuona pimbi kweli 😡😡😡 afu hapo umetumia mda wako kufikili dah!! kazi ipo.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Ndo hayo mzee,yani unashindwa ata kuelewaDuh! Kama matusi yenyewe ndio haya, basi nimehishiwa hoja nanyoosha mikono, maana hakuna hata moja hapo ninalo weza kulijadili kama tusi.
Habari ndio hiyoHivi magufuli hua anatoa mshahara wake kujenga barabara?
Hapo ndio kakata pumzi? Kichwa cha habari usingeandika cha kulia lia hivo ungekuja kibabe sana Lisu amfunika magufuli kazura mimba 😄😄😄😂 sa unalia nnJiwe amekata pumzi, na NEC hawawezi kumuuliza chochote, kisha wanaCCM wanakuambia hiyo ni tume huru.
Magu sasa ni mfamajiWakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao lmakuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Mkikutana barabarani mnasalimiana kama hivi tuu. Kwani kuna shida??Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Mungu akusaidie tu jamaa yangu maana huna unalojuaKumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Wewe hoja zako ziko wapi?Usimtaje Mungu burebure, jenga hoja