Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Aenguliwe kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
 
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
wewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kama ingekuwa hivyo tume na vyombo vya habari wasingeandika John pombe magufuri bali wangeanza na Rais......
 
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.

Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.

Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?

Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?

Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?

Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244

Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Tume iko kimalaya sana
 
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Ni hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Mkuu namimi Niko Kama wewe.
 
wewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.

..mnasema vyombo vyote vya ulinzi ni vya kwenu.

..sasa ni nani aliondoa walinzi wenu wa area D Dodoma ili kupisha magaidi waliotumwa kumshambulia TL?
 
wewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.
Acheni exaggeration.... Mbona Darfur na DRC mlikufa kma kuku? Mnachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha ila tungekua na radical opposition kma Al Qassem Brigade nadhani tungeheahimiana.
 
Mnadhani wote huko kijijini wana smart phone? Subirin october mbeligiji atakavyowakimbia kwa aibu
 
Alikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea.

Wewe dogo una upumbavu. Yuko eneo hilo kufanya kampeni kwa kutumia rasilimali za CCM na wana CCM. Kuna mwananchi anaweza kusimamisha msafara wa Rais? Hivi mnapokuwa mnaandika, dhamira zenu huwa ni ongofu na safi?? Au mnasema kwa sababu kuna sababu kuna wanaoweza kudanganywa wengi??

Unamteteaje mtu anayesimama na kuomba kura kuwa anafanya kazi za Rais hapo hapo akiomba kura kwake, mbunge na diwani?? Eti anafanya kazi za Rais. CCM tuna bahati moja, kuwa uwajibikaji ni ziro. Gharama za Rais kufanya kampeni zilipaswa kulipiwa na CCM, sio kutoka kwenye mfuko wa taifa ambazo ni kodi za wananchi. Wakati huo huo vyama vya siasa vingine vinatumia rasilimali zao.
 
Mnadhani wote huko kijijini wana smart phone? Subirin october mbeligiji atakavyowakimbia kwa aibu
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.

#ChangeTanzania
 
wewe wakati mwengine muwe mnatumia ubongo kufikiri badala ya makalio. CCM ni chama tawala kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi. Jeshi letu lina wajuzi waliobobea katika fani mbali mbali za mapigano tuna snipers wakutosha ambao wanahitaji risasi moja tu kumdondosha panya yeyote alie umbali wa zaidi ya mita 1000. Huyo uliemtaja anasema kapigwa wapo waliompiga bt kusema CCM ndio waliompiga ni kulivunjia heshima jeshi letu.
We kweli tahaira Fulani hivi. Haya mmepiga risasi nyingi tu na Mwenye Mbingu kagoma Lisu kufa.nyie ndiyo yale majinga hata yakiambiwa tunauwezo wa kuipiga marekani mnaitikia tawire. Mnajifanya mnaweza kila kitu.
 
1600628416697.png
 
Katiba na tume vyote vina kasoro nyingi ambazo inabidi kusahihishwa ili tusirudie makosa haya siku zijazo.
 
Back
Top Bottom