Kwani Marekani kashikilia nini?Marekani ndio Mungu wetu, kama nyie vyombo vya dola vilivyo Mungu wenu. Tunataka Marekani ashikilie hapo hapo mpaka madhalimu hapa nchini wanyooshe maelezo. Na iwapo Marekani ataamua kuja hapa nchini tutampa msaada wowote autakao. Hatuko radhi kurejeshwa kwenye mfumo wa chama kimoja na dhalimu yoyote.
Waliochangia kuirudisha nchi kwenye chama kimoja ni akina Lisu na Mbowe 2015 walipokubali kununuliwa na CCM kijingaYaani we ndio kichefuchefu full. Mtunyanyase kisa ulimbukeni wa madaraka kisha mtuambie Marekani hana rekodi ya haki za binadamu? Hata kama hana sifa nzuri za haki za binadamu, ili mradi anaingilia sisi kurudishwa kwenye mfumo bwana chama kimoja kimabavu, tunamuunga mkono.
Tupe evidense ya Kabudi kuwapigia magoti.
Kwani Marekani kashikilia nini?
Kwa taarifa yako Marekani hawezi kushikilia chochote kisicho na maslahi kwake.
Anawasanifu tu na kuwashangaa mnavompelekea umbea mkidhani yeye anamind umbea wenu.
Marekani anamind interest zake tu.
Mkimpelekea umbea usiomlipa anawang'ong'a tu.
Subiri UTAONA.
Kwanini tuyafanye mabaya kisa tu US wanafanya ?!. Hii tabia ya kuandama raia wetu kisa tu itikadi, dini, kanda nk imetoka wapi ?! Hamkukabidhiwa nchi ya namna hiyo.We la Marekani hulioni unaona la Tanzania tu?
Hivi kwenye haki za binadamu unaweza kumquote Marekani kweli?
Mmekuwa brainwashed utafikiri hamjasoma?
Mnatia kichefuchefu!
Waliochangia kuirudisha nchi kwenye chama kimoja ni akina Lisu na Mbowe 2015 walipokubali kununuliwa na CCM kijinga
Ogopa sana mtu anayekwenda madhabahuni kila siku na makamera halafu afanyayo ni tofauti na mafundisho ya Mungu.
Mtu huyo ni wa hatari maana hanuogopi hata mola kwani anamtapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno uzalendo kwao ni yule anaekubaliana na mawazo yao / yakeViongozi wa awamu hii wanalitumia vibaya neno uzalendo.
Ipo haja ya kuwarudisha shule ili wakapewe tena elimu ya uraia.
soma tena. kuna maneno utakuwa umeyarukaWalinunuliwa na nani?
Mkuu kama vipi tumuwekee vikwazo Marekani,ili atujue kwamba sisi ni donor kantri na tunaongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwaMarekani ndo nani?
Yeye anaweza akajibu hoja zetu?
Yaani Marekani ndo kawa Mungu wenu?
Yeye ana utakatifu gani?
Hivi ukiongea masuala ya ukiukaji Haki za Binadamu, huyo Marekani anaweza hata kusogeza pua yake?
Anaweza hata kujilinganisha na Tanzania?
Akili za kitumwa hizo kamanda!
Mnajipendekeza hadi mnatia kichefuchefu.
Marekani si kielelezo sahihi cha Democrasia ama utawala bora am,bao wengi wetu tumekuwa tukiulilia na wala wao pia hawana hizo kitu ktk utawala wao, sasa inakuwaje USA wakisema jambo huku tunalishupalia km vile ndio kilakitu?Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Hii sasa ni akili ya usiku ifanyayo kazi mchanaMkuu kama vipi tumuwekee vikwazo Marekani,ili atujue kwamba sisi ni donor kantri na tunaongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwa
Mungu wabariki WazunguMarekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Kama hawajibiki mbona kamwandikia Trump barua ya kumthibitishia kwamba uchaguzi utakuwa huru na haki!!!?Swali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?
soma tena. kuna maneno utakuwa umeyaruka
HujaelewaHii sasa ni akili ya usiku ifanyayo kazi mchana
Sasa TZ kumuwekea vikwazo USA wapi na wapi mzee baba!Hujaelewa