Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

[emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_jpeg_1584989237703.jpeg
 
Jamaa anatembea kwenye mawe tu wenzake wanapiga vita corona

Anajielewa Kweli huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulitaka ajifungie chumbani kama mizungu? Corona ya mizungu wewe mmatumbi hata bila corona huna uhakika wa mlo kwa siku sasa usipofanya kazi si utakufa kabisa. Nenda kazini acha mizungu ipambane na hali zao, nyie mkipigwa na ebola, ukimwi, malaria wao hawasimami.
 
P. Umekesha !! Ondoa stress lala onghwise [emoji120].
Sent using Jamii Forums mobile app
No ndio nimeamka, usingizi umekata saa 10 alfajiri, sisi shughuli zetu ni kwenye mikusanyiko ya watu, tunaendesha maisha yetu kwa kazi ya kijungu jiko living from hand to mouth, kufuatia Corona, hakuna press conference, mikutano, seminar, warsha, wala makongamano, tunaishije?, inabidi tuu usingizi ukatike.

P
 
No ndio nimeamka, usingizi umekata saa 10 alfajiri, sisi shughuli zetu ni kwenye mikusanyiko ya watu, tunaendesha maisha yetu kwa kazi ya kijungu jiko living from hand to mouth, kufuatia Corona, hakuna press conference, mikutano, seminar, warsha, wala makongamano, tunaishije?, inabidi tuu usingizi ukatike.

P
The same to me. Kama umesikia viwanda vimefungwa Mwz kwa sababu ya Corona ulaya na China. Kila kitu kimesimama [emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipokomea,sad. Chuki ni shida.
Tanzania ni moja ya nchi rahisi kuongoza duniani.Mpo kwenye janga zitto alaf mtu analeta picha za mkuu wa nchi akila bata kwenye mawe.Aliyeleta hiz picha hajamtendea haki mkuu wa nchi kwa wananchi wakati viongoz wenzetu nchi zilizzoendelea wakihangaika na kulia kwa janga hilli eti mtu kwa ulevi wa kujipendekeza analeta picha za furaha kwa rais,haiko sawa kabisa kwa maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kayaman, Mkuu hapo utamuonea sasa jiwe lipo ikulu Mzee apumzike wapi sasa je angeweka na kigodoro kabisa juu ya jiwe hapo si unaona kabisa kalalia jiwe tupu sasa inaleta picha gani mbaya? Af hamna hata mbongo mmoja aliekufa kwa korona sasa shida nn
 
Baba yetu wa magogoni jana akiwa kwenye mapumziko ameonekana akila mema ya nchi katika miamba ya Chamwino kuondoa uchovu wa kazi ngumu ya Urais.

Kitendo alichofanya Mhe. Ni fundisho kwetu sote kwamba katika maisha lazima ujiwekee muda wa kufanya kazi ( hapa kazi tu) na muda wa kupumzika ( kazi na bata). Ukijidanganya ukakomaa na kazi bila muda wa kula bata utaanguka ofisini na wakimaliza kukuhifadhi watarejea kwenye kazi.

Tujifunze kupumzika na kula bata kwani kazi tulizikuta, zipo na zitakuwepo. Isitoshe maendeleo yanapitwa na wakati kwani kila siku Duniani kunavumbuliwa Jambo jipya....Leo una SGR kesho utasikia treni za umeme hazizalishwi Tena wanazalisha za upepo... KAZI NA BATA
 
Back
Top Bottom