Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Mkuu, Hilo la umaskini sina hakika kama kwenu hakuna maskini, na sina hakika kama ukoo wenu mmesoma wote,

Lakini hata Hivyo Raisi ameliona Hilo,na ndiyo maana serikali yake haitaki kuingilia bei ya mazao ya hao unaowaita maskini

Na Kwa usemi wako huu, inaonyesha dhahiri kwamba wewe na chama chako ni wabaguzi wakubwa ninyi

Na alivyoingilia kwenye Korosho ikawaje?
 
Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are like a chichidodo, which hates faeces still feeding on maggots!. Hivi mnataka Rais afanye nini sasa you mburulas?
 
Ningependa kufahamu kifaa kilichotumika kupigia hizo picha [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hio hapo simu juu ya cherehani.

IMG_6687.JPG
 
Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo ulitaka apige picha analia? Kama maisha yamekupiga ni wewe mkuu wengine tuna-dance in the rain pamoja na mzeebaba mwenyewe.
 
Bahahahaha ndio maana anang'ang'ania Magogoni kwa hiyo hapo ndio Beach?😝😝

Kuna mijusi kisukuma wanaitwa Magomamli kwa watu wengine wanawaita mijusi kafiri inapenda sana kukaa kwenye hayo mawe ajiangalie
Mijusi kafiri wakimng'ata wewe kama siyo mteule utapungukiwa nini?
 
Nimeipenda Sana hii
Kuna muda yakupasa kukaa kimya na kusoma watu walichoandika

Hivi wewe una uchungu na mtu mwingine kuliko wazazi wako

Rais ni taasisi sio mtu, Akiwa Dodoma sema taasisi ipo Dodoma,

Hata mawasiliano ya taasisi yanasema kurugenzi ya Ikulu

Mkuu wapi uliona barua zinaandikwa "Rais Magufuli" zinaandikwa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama taasisi

Mtakuja kufa kwa kujaza chuki vifuani, Wewe ni moja ya watu mnaoitafuta presha kwa kujaa chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom