wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
mimi kilichonifurahisha ni rais yupo juu ya mawe
Kukaa juu ya mawe nayo inahitaji kusifiwa kwamba ni uzalendo sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi kilichonifurahisha ni rais yupo juu ya mawe
Mnajidanganya.Huyu mzee bnaa yaani nimecheka kwa sauti kumbe aliye lala pale ni yeye, anazeeka vibaya sana. Alale tuu huko ila Mike Pompeo anaandaa Mashitaka yake atalala sana huko lupango na Bashite wake.
Asanteni watu wa America.
IN GOD WE TRUST
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madai ni kutoka kwa nani? Kwend kwa nani?Alivyo tulia mbona kama hajashtushwa na madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majungu wewe, ulitaka apige picha anafanya nini? Hapo ndio mwisho wa upeo wa akili yako
Hivi maana halisi ya kiongozi unaijua? Hasa kiongozi wa nchi!Wee nawee chenga tu, kuna watu wapo guest wanakulana sembuse kupiga picha embu acha majungu nawe tafuta jiwe upige picha kama umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeee! Kabla ya Rais kukalia jiwe hilo linakuwa limeisha hakikiwa usakama wake na kila aina ya mitambo! Usicheze na TISS
Acha mzaha kwenye hilo jambo ndugu, ugonjwa umeua maelfu na bado vifo vinaendelea kutokea kwa muda mfupi sana.Hivi dom bado haijatokea case hata 1 ya mgonjwa waCorona?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawaona wapinzani wanapita kwa mbali wakitafuta pa kukosoa na wasipapate,
Sent using Jamii Forums mobile app
Legeza akili yako wewe.Hivi maana halisi ya kiongozi unaijua? Hasa kiongozi wa nchi!
Weeee! Kabla ya Rais kukalia jiwe hilo linakuwa limeisha hakikiwa usakama wake na kila aina ya mitambo! Usicheze na TISS
Hana makuu mzee wa Watu, hana shida ya kwenda Dubai.Yaani hiyo picha alolalia jiwe pose za miaka ya 90 jamani..nimechekaaaaaa dah...hizo raba[emoji4]
Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri
Karibuni kwa michango yenu