Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Ukitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri

Karibuni kwa michango yenu
 
Mkuu, tengeneza maisha yako, maana hata hao wanaokufa Kwa Corona unadhani wanapenda?
Raisi hata akikaa amenuna haitasaidia kuzuia hii kitu
Maisha yangu hayakuhusu,ya rais yananihusu kwa sababu ni kiongozi,hajakatazwa kula bata hoja ni matangazo ya picha zake ktk kipindi hiki.Nafikir hujui rais ni nani ndo maana unajifanya upo busy na maisha yako,Katiba inamtambua kama mfariji mkuu wakati wa majanga.
 
Dah! Hizi picha na comments zimenichekesha sana ngoja nilale.
 
Ukitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri

Karibuni kwa michango yenu
Huku mtaani mtu akisema "niko juu ya mawe" ana maanisha ana hali mbaya.

Mzee meko kukaa juu ya mawe anaashiria uchumi uko juu ya mawe.

Kumbuka hamna kitu kinafanyika bila sababu.

Hapo ni ujumbe ulikua unatumwa na ujumbe ndio huo. Uchumi uko juu ya mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajihujumu mwenyewe!
tapatalk_jpeg_1584989237703.jpeg
 
Ukitaza hii video na na picha zilizotoka leo zikimuonesha mh. Rais akipunga upepo ndani ya Ikulu zinaleta picha ya kumshushia hadhi ya kuwa kiongozi wa watu, kwenye janga kubwa hili la corona, Rais uko busy na picha kweli?
Ninadhani kuna watu wanamuhujumu mh. Rais bila ya yeye kujua, au mtu wa protoco hayuko vizuri

Karibuni kwa michango yenu

Acha majungu wewe, ulitaka apige picha anafanya nini? Hapo ndio mwisho wa upeo wa akili yako
 
Wewe pambana kivyako na corona sio lazima rais afate.
Na yeye sasa ameisha wagundua nyie Nyumbu Corona kwamba bila yeye kuongea au kufanya tukio, nyie hampati cha kuongelea kwenye mitandao.

TUSITISHANE
 
Back
Top Bottom