Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,714
- 1,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh Wachina wangejua wangekutafuta mapema uwasaidieSidhani kama unaelewa maana ya corona mkuu
Mkuu corona ipo miaka mingi sana, Ila kuna aina tofauti tofauti kama Sars na kadhalika
Hii ya mwaka huu ni Covid 2019, Sasa atakimbiaje corona ambayo ipo miaka kibao
Sema anakimbia corona virus disease 2019 utaeleweka
Namkubali sana JPM...kuna vitu anapatia sanapicha yangu ya wiki ni hiii inayomwonesha Rais wa Tanzania akinyoosha kiuno juu ya Jiwe liliro ndani ya Ikulu ya chamwino hakika ongera
ila nakukumbusha wapo waliokuwa wanaenda kunyosha kiuno NAREKANI KWENY BEMBEA TU.
View attachment 1397294
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe basi time frame ya hizo picha mkuu Mayalla?Huu ni uthibitisho tuu kuwa hatutishiki!.
Tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi
Na hii ndio ilikuwa kazi ya leo siku ya kazi ya Monday, sijui weekends huwa ni za nini?.
Jana weekend ni siku ya mapumziko ndio ndio siku ya kufanya leisure activities zinaitishwa press conference kuhutubia taifa, halafu leo Monday siku ya kazi na serious business ndio tunatembelea mawe for leisure!.
Kiukweli wapanga ratiba za rais, this time wana kazi kweli kweli, watu dunia nzima wako kwenye agony ya janga la Corona, unaonyesha how serious rais wetu is and how busy he is kwenye kuatend serious issues!. Nchi za wenzetu ni vikao na consultations 24/7.
P
ziko wapi hizo kaziNdugu Zangu Tuchape Kazi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Wanataka avae raba ya mil 2 wamuite fisadi. Si unajua walishakosa ajenda gani watatumia kumbana.Unasema una T-shirt kama ya Rais. Mwingine hapo juu akasema raba alizovaa ni sawasawa na za bibi yake. Hii inadhihirisha huyu ni Rais wa watu. Hana makuu. Miezi michache iliyopita watu walimuonyesha Rais wa Netherlands akiendesha baiskeli mtaani wakamsifia sana. Kwa fikra mlizoonyesha hapa, Magufuli angefanya hivyo mngemzomea.
Hahaha...misho.ga ikishachubuliwa kwa kukosa vilainishi inafurahisha sana, pambana na hali "upinde wa mvua".Huyu mzee bnaa yaani nimecheka kwa sauti kumbe aliye lala pale ni yeye, anazeeka vibaya sana. Alale tuu huko ila Mike Pompeo anaandaa Mashitaka yake atalala sana huko lupango na Bashite wake.
Asanteni watu wa America.
IN GOD WE TRUST
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawekezaji IPTL enh? au wale wahindi wa TLC? mtafurahi.Walienda Lkn walileta tija yaani return ni kubwa nchi ikafaidika na wawekezaji,unaweza usiende ukawa unawekeza kwenye mifuko iliyotoboka hapo Kazi bure
Sio bata ni kiki si mlinanga sana Dodoma vipi hakuendeki MBONA kimya
Tena kama mwawapenda sana ni bora mkae kimya, mkitumia kama strategy ya kampeni mtajuta, mkumbuke ni MSEMA KWELI, hata kale kaheshima alowatunzia kataisha.Walienda Lkn walileta tija yaani return ni kubwa nchi ikafaidika na wawekezaji,unaweza usiende ukawa unawekeza kwenye mifuko iliyotoboka hapo Kazi bure