Festo mbakilwa
Member
- Nov 23, 2017
- 6
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa!"Simultaneous" equation!
Watanzania kweli hamnazo, kweli kipindi cha tention ya Corona km hiki mkuu anapiga picha kama hizi then tunashabikia "eti good my president" Ndiyo maana wakenya wanasema anaogonza mang'ombe!
Vacation na na hizi picha ni vitu viwili tofauti kabisa. Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika tu. Kwa mfano ile hotuba yake ya jana ilikuwa nzuri lakini kuna watu wameamua kuitafsiri vibaya ili watimize malengo yao. Anyway, internet imefanya kila mtu kujiona ana akili ya kukosoaWaziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course. Wewe ulitaka akaache kufanya kazi kwa sababu kuna corona? Huu ni wakati wa kufanya kazi zaidi huku tukizingatia tahadhariRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anachapa Kazi Bila Hofu Ya Corona Virus Diseases 19
😁😂😄😃😅
Anakula maweNdio uwezo wako wakufikiri ulipoishia,hapo umeona anakula bata hapo?
huyu mzee mda mwingine ni yeye mwenyewe ndio huwa anawampa sababu watu kama akina kigogo2014 wawe wanamfanyia bullying kule twitter.
hizi picha hazikufaa kutundikwa kwenye mitandao kipindi hiki ambacho dunia nzima ipo katika taharuki ya COVID-19.
wapambe wake mkukumbusheni kuwa yeye ni mkuu wa nchi na sio celebrity.aache vituko. anachofanya kilistahiri kufanywa na kina steve nyerere.
angesubiri azipost wakati ambao hili janga la corona lingekuwa limeshaisha.
Kama nakuona ulivyovimba!Hili si jukwaa la picha!