Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Wewe sio mzalendo
Rais sio taasisi ni mtu mmoja anayechaguliwa na wananchi kuongoza mhimili wa serikali ambayo ndio taasisi.
Spika wa bunge sio taasisi ni mtu mmoja anayechaguliwa na wabunge kuongoza mhimili wa bunge ambalo ndilo taasisi.
Jaji mkuu sio taasisi ni mtu mmoja anayeteuliwa kuongoza mhimili wa mahakama ambao ndio taasisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda yakupasa kukaa kimya na kusoma watu walichoandika

Hivi wewe una uchungu na mtu mwingine kuliko wazazi wako

Rais ni taasisi sio mtu, Akiwa Dodoma sema taasisi ipo Dodoma,

Hata mawasiliano ya taasisi yanasema kurugenzi ya Ikulu

Mkuu wapi uliona barua zinaandikwa "Rais Magufuli" zinaandikwa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama taasisi

Mtakuja kufa kwa kujaza chuki vifuani, Wewe ni moja ya watu mnaoitafuta presha kwa kujaa chuki

Mzee baba mbona povu kama lote, katika koment ya mshikaji mbona sio chuki yoyote. Hu noz, huenda mnajuana.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Magufuli! Moto mwingi acha kabisa! Ila anapendwa na wananchi wake!
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Dunia nzima kwa sasa viongozi wana haha na huu ugonjwa na sio tu kwenye kutibu bali pia kuokoa uchumi. Viongozi wana kazi mbili kwa sasa kwanza kuzuia kuenea kwa ugonjwa na pili kuahakikisha wana okoa uchumi au wanazuia uchumi usianguke zaidi.

Huu sio muda kabisa wa Mkuu wa nchi kupiga picha akiwa amelala juu ya mawe, hiki ni kipindi kigumu sana kwa nchi nyingi.

Washauri wa Mkuu jalibuni kushauri mkuu kwamba wakati huu kuna mambo aanapaswa kuyaepuka.
FB_IMG_1584984447756.jpeg
FB_IMG_1584984445147.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kueleweshwa, hivi hiyo ikulu ya Chamwino ipo wilaya ya Chamwino au ipo mjini pale Dodoma ila jina tu ndio la Chamwino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom