Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Chibudee,
Huu ni uthibitisho tuu kuwa hatutishiki!.
Tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi . Na hii ndio ilikuwa kazi ya leo siku ya kazi ya Monday, sijui weekends huwa ni za nini?. Jana weekend ni siku ya mapumziko ndio ndio siku ya kufanya leisure activities zinaitishwa press conference kuhutubia taifa, halafu leo Monday siku ya kazi na serious business ndio tunatembelea mawe for leisure!.

Kiukweli wapanga ratiba za rais, this time wana kazi kweli kweli, watu dunia nzima wako kwenye agony ya janga la Corona, unaonyesha how serious rais wetu is and how busy he is kwenye kuatend serious issues!. Nchi za wenzetu ni vikao na consultations 24/7.
P
 
Acha apumzike na madhila ya kila siku
Hata yeye ana likizo pia
Angeenda Copacabana sijui ingekuwaje [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu ni uthibitisho tuu kuwa hatutishiki!.
Tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi
Na hii ndio ilikuwa kazi ya leo siku ya kazi ya Monday, sijui weekends huwa ni za nini?.
Jana weekend ni siku ya mapumziko ndio ndio siku ya kufanya leisure activities zinaitishwa press conference kuhutubia taifa, halafu leo Monday siku ya kazi na serious business ndio tunatembelea mawe for leisure!.
Kiukweli wapanga ratiba za rais, this time wana kazi kweli kweli, watu dunia nzima wako kwenye agony ya janga la Corona, unaonyesha how serious rais wetu is and how busy he is kwenye kuatend serious issues!. Nchi za wenzetu ni vikao na consultations 24/7.
P
Yani umeandika simultaneously equation 👋👋👋👋👋
 
Back
Top Bottom