Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Asijisahau huko corona inasambaa kwa kasi ya 5g, nawashauri sasa miji isafishwe kama hivi
 
Punga upepo mwanana wa fukwe za Dodoma huku ukitafakari namna ya kupambana na corona, huko Dar ni mchanga mtupu.
Rais Magufuli akiwa amejipumzisha juu ya jiwe lililo eneo la Ikulu Chamwino Dodoma hapo jana.

Kelele za Dar zingekuchanganya hasa kipindi hiki kigumu cha kupambana na Corona maana ni PEPO MCHAFU anayekatisha maisha hasa ya watu wazima.

Hili ni pigo kwetu binadamu tunaofanya madhambi mengi juu ya uso wa daunia na ndiyo maana maambukizi kwa watoto ni madogo sana na hakuna KIFO HATA KIMOJA CHA MTOTO kwasababu watoto wadogo hawana dhambi. Nhttps://www.nbcnews.com/health/health-news/we-simply-do-not-understand-why-coronavirus-sparing-children-puzzling-n1147951n
 
JIWE JUU YA JIWE. MIAKA YA NYUMA MTU AKISEMA NIPO JUU YA MAWE MAANA YAKE HALI SI NZURI.
 
Umenena vema. Hii raha ya kugaragara juu ya mawe anaipata wapi wakati wenzake tunaomboleza makanisani, misikitini na kila mahali kwa ajili ya janga hili la corona.
 
UMENENA VEMA. HII RAHA YA KUGARAGARA JUU YA MAWE ANAIPATA WAPI WAKATI WENZAKE TUNAOMBOLEZA MAKANISANI, MISIKITINI NA KILA MAHALI KWA AJILI YA JANGA HILI LA CORONA.
Unaomboleza?
Huko Italy kwenyewe watu wanalazimishwa kukaa nyumbani, wanataka wakale bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…